Ni vizuri watu mkawa makini Mtu kama Mh. Mbowe yuko na Mtaji wa watu hivyo kutaka kumpoteza nikujilisha upepo tu.

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
17,744
44,752
Unfortunately hii Serikali inajilisha upepo , kupoteza Fedha na hela za walipa kodi kwa ajili ya kulifuta jina linaoitwa Mbowe ni kujidanganya.

Hii ni sawa na mtu kuchota maji mtoni na kuyapeleka baharani.

Mbowe yuko na back up ya watu almost Million 30 Tz na nje.

Mimi naona hii ligi mmechokoza pabaya sana . time will tell.

Mbowe huyu nayemjua leo hii ndo mnajipima naye ubavu aaaaha! Kweli watu mmekosa maarifa huu mfupa ulimshinda kayafa sembuse nyie ..
 
Hata akiwa na back up ya watu billioni moja, kama amefanya jinai atapata stahili yake, saivi Mbowe analala na kunguni na hakuna chawa wake yoyote anayeweza fanya lolote, wote mikia ipo ndani kama mbwa koko.
 
Muulize Magufuli?? Ndo atakupa habari nzima.
 
Diwani na siro wamalewa madaraka kabisa hata kuwasikiliza maafisa wengine kwenye vyombo vya usalama hawataki

Muda ni mwalimu sana tuendelee kuwepo.
 
Hata akiwa na back up ya watu billioni moja, kama amefanya jinai atapata stahili yake, saivi Mbowe analala na kunguni na hakuna chawa wake yoyote anayeweza fanya lolote, wote mikia ipo ndani kama mbwa koko.
Kesi gani hiyo ambayo dunia nzima inajua ni ya kubambika??
 
Makaburu yalipo karibia kuanguka utawala wao walifanya vitimbi vikubwa sana. Na huu utawala wa ccm lazima ufanye vitimbi kama vyama vyote vya ukombozi vikilewa madaraka.

Lunatic
 
Unfortunately hii Serikali inajilisha upepo , kupoteza Fedha na hela za walipa kodi kwa ajili ya kulifuta jina linaoitwa Mbowe ni kujidanganya.

Hii ni sawa na mtu kuchota maji mtoni na kuyapeleka baharani.

Mbowe yuko na back up ya watu almost Million 30 Tz na nje.

Mimi naona hii ligi mmechokoza pabaya sana . time will tell.

Mbowe huyu nayemjua leo hii ndo mnajipima naye ubavu aaaaha! Kweli watu mmekosa maarifa huu mfupa ulimshinda kayafa sembuse nyie ..
Kwa nini watu mchague upande kwenye kesi ambayo haijahukumiwa bado? Tusubiri tuone kama tuhuma zinazomkabili ni za kweli au zakubuni tu mahakama ipo, na yupo na mawakili makini, hivyo haki yake itapatikana tu soon or later.
 
Back
Top Bottom