Kama wapinzani hawana hoja kwanini nguvu kubwa inatumika kuwazuia?

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Nimekuwa nikiwasikiliza VIONGOZI Mbali Mbali wa CCM wakijinasibu kwa Wananchi kuwa WAPINZANI hawana HOJA na Wameishiwa HOJA
Huwa Najiuliza HOJA ni NINI ambazo WAPINZANI Wameishiwa? Sipati JIBU kwani hata Wao CCM wanaposema hivyo Hawafafanui ni HOJA zipi Ambazo WAPINZANI Wameishiwa.

Binafsi NAAMINI kuwa WAPINZANI wana HOJA na ndio Maana CCM inatumia NGUVU KUBWA ya SERIKALI kuwadhibiti WAPINZANI.

Kwa Mfano
Kwanini CCM inazuia
MIKUTANO ya
UPINZANI ya NDANI
na ya HADHARA?
Kwanini CCM inafanya
MIKUTANO pekee
Yake kama Sio
Kuwaogopa
WAPINZANI?

Kwanini
KAMATAKAMATA kwa
WAPINZANI imekuwa
KAWAIDA tena Siku
hizi Mpaka Kwenye
NYUMBA za IBADA?
Kwanini WAPINZANI
wanabambikiziwa
KESI

Kwanini CCM
Inaogopa KATIBA
MPYA
Kwanini CCM haitaki
TUME HURU ya
UCHAGUZI
Kwanini CCM
inanunua WAPINZANI
na Kuwapa VYEO na
UBUNGE?

Kwanini CCM
Inawakumbatia kwa
NGUVU KUBWA
WABUNGE 19
Waliofukuzwa
Uanachama na
Chama Chao?
Kwanini CCM Ilivuruga
UCHAGUZI wa
SERIKALI
za MITAA 2019 na
UCHAGUZI MKUU
2020?

MATUKIO yote hayo ni USHAHIDI TOSHA kuwa UPINZANI una HOJA ndio maana NGUVU KUBWA inatumika Kuudhibiti

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Toa WAPINZANI weka CHADEMA kwenye hili gazeti lako, Maana wapinzani wanaofanya siasa hawajawahi kuzuiwa kufanya shughuli zao za kisiasa, ila wapinzani wasijua siasa hao ndio wanaokutana na mkono wa Dola kila siku kwenye mikusanyiko yao haramu inayoleta taharuki katika jamii
 
CCM wameona threat inakuja, wanajua kutoa katiba mpya ni sawa na wao kukabidhi dola kwa wananchi - hawataki kabisa kitu hiki, wapo radhi kuwafunga wale kibelebele wa katiba vifungo virefu ili wapumue.

Msimamo wa CCM ni kwamba katiba mpya si ajenda yao kwa sasa, mpaka lini wataamua haijulikani. Yaani kwa maneno mengine CCM ndiyo wanapanga hatma ya Taifa letu, hii ni kitu hakina afya kabisa.
 
Kama akili zao ndio hizi unategemea nini?
E-0qMd7XIAA8DO7.jpeg
 
Nimekuwa nikiwasikiliza VIONGOZI Mbali Mbali wa CCM wakijinasibu kwa Wananchi kuwa WAPINZANI hawana HOJA na Wameishiwa HOJA
Huwa Najiuliza HOJA ni NINI ambazo WAPINZANI Wameishiwa? Sipati JIBU kwani hata Wao CCM wanaposema hivyo Hawafafanui ni HOJA zipi Ambazo WAPINZANI Wameishiwa.
Binafsi NAAMINI kuwa WAPINZANI wana HOJA na ndio Maana CCM inatumia NGUVU KUBWA ya SERIKALI kuwadhibiti WAPINZANI.
Kwa Mfano
Kwanini CCM inazuia
MIKUTANO ya
UPINZANI ya NDANI
na ya HADHARA?
Kwanini CCM inafanya
MIKUTANO pekee
Yake kama Sio
Kuwaogopa
WAPINZANI?
Kwanini
KAMATAKAMATA kwa
WAPINZANI imekuwa
KAWAIDA tena Siku
hizi Mpaka Kwenye
NYUMBA za IBADA?
Kwanini WAPINZANI
wanabambikiziwa
KESI
Kwanini CCM
Inaogopa KATIBA
MPYA
Kwanini CCM haitaki
TUME HURU ya
UCHAGUZI
Kwanini CCM
inanunua WAPINZANI
na Kuwapa VYEO na
UBUNGE?
Kwanini CCM
Inawakumbatia kwa
NGUVU KUBWA
WABUNGE 19
Waliofukuzwa
Uanachama na
Chama Chao?
Kwanini CCM Ilivuruga
UCHAGUZI wa
SERIKALI
za MITAA 2019 na
UCHAGUZI MKUU
2020?
MATUKIO yote hayo ni USHAHIDI TOSHA kuwa UPINZANI una HOJA ndio maana NGUVU KUBWA inatumika Kuudhibiti

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Wapinzani hoja wanazo. Tena hoja zao ni kali zinazo simamia maslahi ya Taifa kwa uhalisia wake na ndiyo maana serkali inatumia vyimbo vyote vya dola na vyombo vya habari kukandamiza hoja za wapinzani zisiwafikie wananchi. Ama wananchi wakizifahamu na kuzielewa basi CCM ambayo imekuwa madarakani itapoteza uhalali kubakia madarakani. Ni mawazo yangu tu.
 
Nimekuwa nikiwasikiliza VIONGOZI Mbali Mbali wa CCM wakijinasibu kwa Wananchi kuwa WAPINZANI hawana HOJA na Wameishiwa HOJA
Huwa Najiuliza HOJA ni NINI ambazo WAPINZANI Wameishiwa? Sipati JIBU kwani hata Wao CCM wanaposema hivyo Hawafafanui ni HOJA zipi Ambazo WAPINZANI Wameishiwa.
Binafsi NAAMINI kuwa WAPINZANI wana HOJA na ndio Maana CCM inatumia NGUVU KUBWA ya SERIKALI kuwadhibiti WAPINZANI.
Kwa Mfano
Kwanini CCM inazuia
MIKUTANO ya
UPINZANI ya NDANI
na ya HADHARA?
Kwanini CCM inafanya
MIKUTANO pekee
Yake kama Sio
Kuwaogopa
WAPINZANI?
Kwanini
KAMATAKAMATA kwa
WAPINZANI imekuwa
KAWAIDA tena Siku
hizi Mpaka Kwenye
NYUMBA za IBADA?
Kwanini WAPINZANI
wanabambikiziwa
KESI
Kwanini CCM
Inaogopa KATIBA
MPYA
Kwanini CCM haitaki
TUME HURU ya
UCHAGUZI
Kwanini CCM
inanunua WAPINZANI
na Kuwapa VYEO na
UBUNGE?
Kwanini CCM
Inawakumbatia kwa
NGUVU KUBWA
WABUNGE 19
Waliofukuzwa
Uanachama na
Chama Chao?
Kwanini CCM Ilivuruga
UCHAGUZI wa
SERIKALI
za MITAA 2019 na
UCHAGUZI MKUU
2020?
MATUKIO yote hayo ni USHAHIDI TOSHA kuwa UPINZANI una HOJA ndio maana NGUVU KUBWA inatumika Kuudhibiti

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Majibu kutoka kwa husika tafadhali.?
 
Hawana impact wakati wanahanagaika kuwawafunga kuwaua kuwabambikia mashtaka huku hawana impact, balaa sana hii nchi, ua funga tupa baharini wakiwa kwenye viroba as if wao watakaa milele hapa chini ya Jua , SHAME
 
Toa WAPINZANI weka CHADEMA kwenye hili gazeti lako, Maana wapinzani wanaofanya siasa hawajawahi kuzuiwa kufanya shughuli zao za kisiasa, ila wapinzani wasijua siasa hao ndio wanaokutana na mkono wa Dola kila siku kwenye mikusanyiko yao haramu inayoleta taharuki katika jamii
Acha ushabaki, ukiondoa ccm ni chama gani kingine kilichowai kufanya mkutano wa ndani ama wa hadhara bila kuingiliwa na polisi toka huu mwaka uanze? NCCR -MAGEUZI je ama nao hawajui siasa ndio maana polisi walizuia mkutano wao?
 
Toa WAPINZANI weka CHADEMA kwenye hili gazeti lako, Maana wapinzani wanaofanya siasa hawajawahi kuzuiwa kufanya shughuli zao za kisiasa, ila wapinzani wasijua siasa hao ndio wanaokutana na mkono wa Dola kila siku kwenye mikusanyiko yao haramu inayoleta taharuki katika jamii
We jamaa umechemka Leo...ulipo lala usirud kulala tena huko...
 
Toa WAPINZANI weka CHADEMA kwenye hili gazeti lako, Maana wapinzani wanaofanya siasa hawajawahi kuzuiwa kufanya shughuli zao za kisiasa, ila wapinzani wasijua siasa hao ndio wanaokutana na mkono wa Dola kila siku kwenye mikusanyiko yao haramu inayoleta taharuki katika jamii
Naona UBONGO umenyofolewa wote
JamiiForums1980995331.jpg

Back
Top Bottom