Wale mliokuwa mnasema Rais Magufuli hajui lugha ya malkia hapo vipi??

Queen Esther

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
2,195
1,417
Hotuba ya Rais Magufuli mara baada ya kutangazwa kuwa Mkt moya wa SADC imefumba vinywa vya wapumbavu.

- Imejaa takwimu
- Inaonesha mwelekeo
- Inajenga umoja wa wa Africa
- Imesisitiza kuangalia namna ya kuwaangalia wenzetu Zimbabwe
- Marais wote wamesoma lakini kuna jamaa walivaa miwani ya mbao. Na kutokana na udogo wa akili zao wanajadili vitu vidogovidogo wanaacha issues.
- Yapo mengi hata wewe umeyasikia

Kuanzia sasa, hivyo vi elimu vyenu vya kuungaunga na vingereza vya Holliwood visiwatie wazimu. No research no right to speak.

Kuna watu wameshindwa kuficha upumbavu wao wamekimbilia kwenye lafudhi badala ya contents. Aidha, suala la kusoma wamefanya marais wote sio magu peke yake. Hata marais wakiotangulia ukiacha mzee mkapa wote wanasoma. Wekeni hotuba zao hapa tuone.

Acheni upumbavu na ushamba wa elimu zenu za kuungaunga. Hotuba imeenda shule na makofi yalikuwa kama mvua ukumbi mzima. Kama vipi kalambe malimao.




Queen Esther
 
Hahahaa kusema kweli simchukii ila ukweli ni kwamba alikua anasoma kwa kufuatisha vidole kwene karatasi....macho yalikua hayachezi mbali na karatasi kama anavyofanya akiwa anaongea kiswahili.
pia ana tatizo kubwa sana la L na R .....kiufupi jembe letu kwenye lugha ya malkia ni bado saaaaaaaana
 
Back
Top Bottom