Nakupongza RC Makalla kwa tamko la wamachinga kuiziba njia na kufanya biashara holela kwenye hifadhi za barabara

Skyway

Senior Member
May 19, 2019
197
250
Nakupongeza RC wa DSM kwa ujasiri wa kuliona hili la wamachinga kuziba njia za wapita kwa miguu, kujenga vibanda kwenye mitaro na road reserve. Serikali mlikuwa wapi hawa wamachinga ni watu waliokuwa wamekosa mtu wa kuwaambia na wakajiona wako juu ya sheria
Athari za wamachinga ni kubwa sana kwa serikali.

1: kuhatarisha usalama na foleni
Hakuna nafasi kupita njia zote zimezibwa ni hatari kwa usalama .ajali za mwendokasi na msongamano inasababisha foleni.

2:Upikaji holela ni hatari kwa usalama na uharibifu wa mazingira
Kila kona watu wanapika hii si sawa.

3, upotevu wa mapato ya serikali , machinga wengi hawalipi kodi na wanaziba maduka ya wafanyabiashara wakubwa na walipa kodi na hivyo kusababisha hata wafanyabiashara wakubwa kuanza kuwatumia wamachinga.

4: kuharibika kwa mandhari ya Mji wa kibishara Dar es salam kuanzia airport mpaka unakaribia Ikulu ni uchafu tu vibanda vya kila sampuli
Hiii itapunguza idadi ya watalii kwasababu mtu akiangalia Mjin ulivyomchafu na bughudha za wamachinga hAwezi kurudi tena na jitihada za Rais kuitangaza Tanzania hazitafanikiwa kama mfumo huu wa kuwaachia machinga kujenga vibanda kila mahali na kuharibu mazingira.

Ninakupongeza Rc Makalla ni muda sasa wa kutekeleza tamko lako na kwa ujasiri wako naamini unaweza ukarejesha heshima, mandhari ya DSM.
 
eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
14,084
2,000
1. Wanakuzibia njia unaenda wapi? Hao wateja wanaonunua bidhaa za machinga wanapita wapi? Wewe ni Rais ukitaka kupita tukupishe njia?

2. Tangu machinga waruhusiwe umeshasikia kipindupindu dar? Huo usalama upi unaozungumzia?

3.kodi ipi halipi? Hizo tozo za miamala ya mpesa bado tu haiwatoshi? Hakuna machinga anaefata mzigo China ina maana walio import walilipa kodi stahiki mnataka nini tena.

4. Eti mandhari ya mji! We vipi? Mandhari yako nzuri ni ipi? Mandhari nzuri iko ngorongoro na serengeti, sisi hao machinga mamalishe ndio mandhari nzuri, na Kama kwako ni kero nenda mlimani City kanunue huko huku karakoram unafuata nini? Shenzi kabisa
 
Shoctopus

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
3,055
2,000
Hayati JPM aliwaruhusu kuweka biashara popote nchi nzima. Bila Bunge kupitisha sheria mpya kufuta amri hiyo amri ya RC pekee haitoshi.
 
Hamatan

JF-Expert Member
Nov 10, 2020
2,273
2,000
1. Wanakuzibia njia unaenda wapi? Hao wateja wanaonunua bidhaa za machinga wanapita wapi? Wewe ni Rais ukitaka kupita tukupishe njia?

2. Tangu machinga waruhusiwe umeshasikia kipindupindu dar? Huo usalama upi unaozungumzia?

3.kodi ipi halipi? Hizo tozo za miamala ya mpesa bado tu haiwatoshi? Hakuna machinga anaefata mzigo China ina maana walio import walilipa kodi stahiki mnataka nini tena.

4. Eti mandhari ya mji! We vipi? Mandhari yako nzuri ni ipi? Mandhari nzuri iko ngorongoro na serengeti, sisi hao machinga mamalishe ndio mandhari nzuri, na Kama kwako ni kero nenda mlimani City kanunue huko huku karakoram unafuata nini? Shenzi kabisa
Ulivyomalizia hoja yako, inaonekana kuna kitu kimepungua kichwani.

Uharibifu unaosababishwa na machinga, ulikuwa unasubiri apatikane kiongozi mkweli wa nafsi na mwenye akili, japo ya kawaida tu, kuja kuusimamisha.

Machinga, kama watanzania wengine, wana haki ya kufanya biashara, lakini siyo kwa namna chafu kama ya sasa.
 
Kavirondo

JF-Expert Member
May 2, 2020
395
1,000
1. Wanakuzibia njia unaenda wapi? Hao wateja wanaonunua bidhaa za machinga wanapita wapi? Wewe ni Rais ukitaka kupita tukupishe njia?

2. Tangu machinga waruhusiwe umeshasikia kipindupindu dar? Huo usalama upi unaozungumzia?

3.kodi ipi halipi? Hizo tozo za miamala ya mpesa bado tu haiwatoshi? Hakuna machinga anaefata mzigo China ina maana walio import walilipa kodi stahiki mnataka nini tena.

4. Eti mandhari ya mji! We vipi? Mandhari yako nzuri ni ipi? Mandhari nzuri iko ngorongoro na serengeti, sisi hao machinga mamalishe ndio mandhari nzuri, na Kama kwako ni kero nenda mlimani City kanunue huko huku karakoram unafuata nini? Shenzi kabisa
Pole mkuu,
Lakini sheria ni msumeno,ikate kotekote.. haiwezekani mwingine,asumbuliwe na Osha,NEMC,Manispaa.na mwingine aachwe bila kubughudhiwa..hii double standard..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Deeboyfrexh

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
2,076
2,000
Nakupongeza Rc wa Dsm kwa ujasiri wa kuliona hili la wamachinga kuziba njia za wapita kwa miguu, kujenga vibanda kwenye mitaro na road reserve. Serikali mlikuwa wapi hawa wamachinga ni watu waliokuwa wamekosa mtu wa kuwaambia na wakajiona wako juu ya sheria
Athari za wamachinga ni kubwa sana kwa serikali
1: kuhatarisha usalama na foleni
Hakuna nafasi kupita njia zote zimezibwa ni hatari kwa usalama .ajali za mwendokasi na msongamano inasababisha foleni
2:Upikaji holela ni hatari kwa usalama na uharibifu wa mazingira
Kila kona watu wanapika hii si sawa
3, upotevu wa mapato ya serikali , machinga wengi hawalipi kodi na wanaziba maduka ya wafanyabiashara wakubwa na walipa kodi na hivyo kusababisha hata wafanyabiashara wakubwa kuanza kuwatumia wamachinga
4: kuharibika kwa mandhari ya Mji wa kibishara Dar es salam kuanzia airport mpaka unakaribia Ikulu ni uchafu tu vibanda vya kila sampuli
Hiii itapunguza idadi ya watalii kwasababu mtu akiangalia Mjin ulivyomchafu na bughudha za wamachinga hAwezi kurudi tena na jitihada za Rais kuitangaza Tanzania hazitafanikiwa kama mfumo huu wa kuwaachia machinga kujenga vibanda kila mahali na kuharibu mazingira
Ninakupongeza Rc Makalla ni muda sasa wa kutekeleza tamko lako na kwa ujasiri wako naamini unaweza ukarejesha heshima, mandhari ya Dsm
Hao machinga muhakikishe kwanza mna pa kuwapeleka tusije tukanza kukabana tu uswahilini!
 
Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,433
2,000
1. Wanakuzibia njia unaenda wapi? Hao wateja wanaonunua bidhaa za machinga wanapita wapi? Wewe ni Rais ukitaka kupita tukupishe njia?

2. Tangu machinga waruhusiwe umeshasikia kipindupindu dar? Huo usalama upi unaozungumzia?

3.kodi ipi halipi? Hizo tozo za miamala ya mpesa bado tu haiwatoshi? Hakuna machinga anaefata mzigo China ina maana walio import walilipa kodi stahiki mnataka nini tena.

4. Eti mandhari ya mji! We vipi? Mandhari yako nzuri ni ipi? Mandhari nzuri iko ngorongoro na serengeti, sisi hao machinga mamalishe ndio mandhari nzuri, na Kama kwako ni kero nenda mlimani City kanunue huko huku karakoram unafuata nini? Shenzi kabisa
Hao machinga ndo hawafai usitetee ujinga ,mikoa mingapi wanajengewa soko wanaacha huko wanarudi barabarani? Unajua maana ya City plan ?mitaro ya Dar imejaa uchafu kwa ajili ya machinga halafu unasema umesikia kipindupindu? Unajengaje kibanda juu ya mtaro makaratasi na nylon na chupa za mikojo unatupia mtaroni ? . Chakula kinaliwa juu ya mtaro chini maji machafu yanapita,mitaro imeziba kwa ajili ya uchafu wa wamachinga.

Uwizi na usalama pia ,wamachinga wajengewe sehemu kama hawataki wapigwe marungu wasionekane mbele za maduka ya watu na kuziba barabara
 
Deeboyfrexh

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
2,076
2,000
machinga sio wa kubembeleza mikoa kadhaa wanajengewa sehemu yao wanaacha wanarudi mbele ya maduka za watu
Mnapowajengea kuna wateja? Au ilimradi tu umtoe mtu kariakoo umuhamishie kimbiji? Hamna mtu atakubali hilo
 
sinajinasasa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
2,585
2,000
Nakupongeza Rc wa Dsm kwa ujasiri wa kuliona hili la wamachinga kuziba njia za wapita kwa miguu, kujenga vibanda kwenye mitaro na road reserve. Serikali mlikuwa wapi hawa wamachinga ni watu waliokuwa wamekosa mtu wa kuwaambia na wakajiona wako juu ya sheria
Athari za wamachinga ni kubwa sana kwa serikali
1: kuhatarisha usalama na foleni
Hakuna nafasi kupita njia zote zimezibwa ni hatari kwa usalama .ajali za mwendokasi na msongamano inasababisha foleni
2:Upikaji holela ni hatari kwa usalama na uharibifu wa mazingira
Kila kona watu wanapika hii si sawa
3, upotevu wa mapato ya serikali , machinga wengi hawalipi kodi na wanaziba maduka ya wafanyabiashara wakubwa na walipa kodi na hivyo kusababisha hata wafanyabiashara wakubwa kuanza kuwatumia wamachinga
4: kuharibika kwa mandhari ya Mji wa kibishara Dar es salam kuanzia airport mpaka unakaribia Ikulu ni uchafu tu vibanda vya kila sampuli
Hiii itapunguza idadi ya watalii kwasababu mtu akiangalia Mjin ulivyomchafu na bughudha za wamachinga hAwezi kurudi tena na jitihada za Rais kuitangaza Tanzania hazitafanikiwa kama mfumo huu wa kuwaachia machinga kujenga vibanda kila mahali na kuharibu mazingira
Ninakupongeza Rc Makalla ni muda sasa wa kutekeleza tamko lako na kwa ujasiri wako naamini unaweza ukarejesha heshima, mandhari ya Dsm
Fukuzeni machinga wote basi wakalime alizeti mbaki wenye maduka tu makubwa
 
Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,433
2,000
Mnapowajengea kuna wateja? Au ilimradi tu umtoe mtu kariakoo umuhamishie kimbiji? Hamna mtu atakubali hilo
we una duka lako halafu mwingine anakuzibia njia anakuja kuweka kibanda chake mbele yako au bishara unayofanya wewe yeye anakuja kusimama mbele ya duka lako anauza we utaakubali?
 
eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
14,084
2,000
Hao machinga ndo hawafai usitetee ujinga ,mikoa mingapi wanajengewa soko wanaacha huko wanarudi barabarani? Unajua maana ya City plan ?mitaro ya Dar imejaa uchafu kwa ajili ya machinga halafu unasema umesikia kipindupindu? Unajengaje kibanda juu ya mtaro makaratasi na nylon na chupa za mikojo unatupia mtaroni ? . Chakula kinaliwa juu ya mtaro chini maji machafu yanapita,mitaro imeziba kwa ajili ya uchafu wa wamachinga.

Uwizi na usalama pia ,wamachinga wajengewe sehemu kama hawataki wapigwe marungu wasionekane mbele za maduka ya watu na kuziba barabara
Unaathirika vipi na hayo uliyoyaeleza?
 
eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
14,084
2,000
we una duka lako halafu mwingine anakuzibia njia anakuja kuweka kibanda chake mbele yako au bishara unayofanya wewe yeye anakuja kusimama mbele ya duka lako anauza we utaakubali?
Nawewe funga duka weka kibanda mbele yake shida nini?
 
Chozizwa2020

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
411
500
1. Wanakuzibia njia unaenda wapi? Hao wateja wanaonunua bidhaa za machinga wanapita wapi? Wewe ni Rais ukitaka kupita tukupishe njia?

2. Tangu machinga waruhusiwe umeshasikia kipindupindu dar? Huo usalama upi unaozungumzia?

3.kodi ipi halipi? Hizo tozo za miamala ya mpesa bado tu haiwatoshi? Hakuna machinga anaefata mzigo China ina maana walio import walilipa kodi stahiki mnataka nini tena.

4. Eti mandhari ya mji! We vipi? Mandhari yako nzuri ni ipi? Mandhari nzuri iko ngorongoro na serengeti, sisi hao machinga mamalishe ndio mandhari nzuri, na Kama kwako ni kero nenda mlimani City kanunue huko huku karakoram unafuata nini? Shenzi kabisa
Mkuu pamoja na mchango wa mawazo/hoja yako mzuri ambayo huenda huenda haingepingwa na hoja mzuri zadi, lalini umaliziaji wa hoja yako imepunguzwa ubora wake kwa maneno "SHENZI KABISA" punguza jaziba kiongozi.
 
Super Sub Steve

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
16,749
2,000
1. Wanakuzibia njia unaenda wapi? Hao wateja wanaonunua bidhaa za machinga wanapita wapi? Wewe ni Rais ukitaka kupita tukupishe njia?

2. Tangu machinga waruhusiwe umeshasikia kipindupindu dar? Huo usalama upi unaozungumzia?

3.kodi ipi halipi? Hizo tozo za miamala ya mpesa bado tu haiwatoshi? Hakuna machinga anaefata mzigo China ina maana walio import walilipa kodi stahiki mnataka nini tena.

4. Eti mandhari ya mji! We vipi? Mandhari yako nzuri ni ipi? Mandhari nzuri iko ngorongoro na serengeti, sisi hao machinga mamalishe ndio mandhari nzuri, na Kama kwako ni kero nenda mlimani City kanunue huko huku karakoram unafuata nini? Shenzi kabisa
Siku magaidi wakitumia vibanda vya wamachinga Kama maficho kuzuru viongozi au Raia msianze kulalamika.Wamachinga wamevuka mipaka aiseeee.Bora wamachinga wa zamani walikuwa wanabeba vitu na kutembea navyo,ila Toka waruhusu kujenga mabanda imekuwa shiiida tupu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom