Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ninasikitika sana kunona umeingia chaka kua na msemaji wa serikali ambaye ima kwa makusudi mazima anapotosha umma au hajui anachokifanya. Gazeti la Rais mwema kuandika eti "HAMZA WA CCM" wananchi...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Rais Samia anaipaisha Tanzania kimataifa Na Ashraf Kasebi Rais Samia Suluhu Hassan alianza na ‘Royal Tour’ kama sehemu ya kui - brand Tanzania katika uso wa dunia, na sasa safari hii ya New York...
0 Reactions
7 Replies
775 Views
Ndugu zangu kwa Tanzania hakuna shirika la uma ambalo limepitia changamoto kama shirika la umeme TANESCO.Shirika hili tangu kipindi Cha Mzee wa ruksa wanasiasa walianza kulitumia kama kitega...
12 Reactions
53 Replies
3K Views
Picha ya juu- walinzi wa siku zote picha ya chini walinzi wa KAZI MAALUM
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni bahati njema kwamba idadi kubwa ya watu wetu katika taifa ni vijana, ambao ni nguvukazi muhimu katika juhudi za kujiletea maendeleo. Kuwa na vijana wengi ni moja ya vigezo muhimu sana kwa...
0 Reactions
0 Replies
636 Views
“Wengine wanasema nipo Chato, kwani waliambiwa Chato sitakiwi kuwepo?, hapa si ndio nilipozaliwa na hata nikifa nitazikwa hapa kuna ubaya gani nikiwa Chato? , nikienda Moshi watasema nipo Moshi...
21 Reactions
188 Replies
20K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Miaka 22 imepita sasa tangu Baba wa Taifa atutoke, Tanzania imeendelea kuwepo na hakika itaendelea kuwepo sana. Mwalimu Julius Kambarage...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Viongozi wengi waliopita katika mikono ya Mbowe katika njia zao za kutafuta mafanikio ya kisiasa wamedumu katika siasa hadi sasa bila kujali wako chama gani! Wahenga tunajua vijana wengi...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Shahidi namba moja kwenye kesi ya ugaidi inayomuhusu Freeman Mbowe na wenzake, RPC Kingai umetuabisha kwa kuchanganya Maelezo yako huku ukiongozwa na wakili wako wa serikali Je, RPC Kingai...
62 Reactions
135 Replies
13K Views
Watu wa Serikali za dunia wana siri zipi ambazo wao wanazijua sisi hatuzijui. Hawa watu huwa hawana hofu wala uoga Wanaweza kuonea watu bila hofu yoyote. Wanaweza teka mtu bila wasiwasi wa kuwa...
0 Reactions
2 Replies
773 Views
Bado najiuliza hofu ni ya nini? 2025 itafika mtampitisha mnayemtaka na mtampigia kampeni kwa kadri mtavyotaka. Hata mkiamua kumpitisha kibajaji ni sawa tu, maana yatakua maamuzi ya chama chenu...
0 Reactions
1 Replies
452 Views
YAH: CHANGAMOTO YA KUONGEZEWA GHARAMA ZA KAZI YETU ZA KUBEBA ABIRIA KUTOKA OFISI YA MKURUGENZI YA MANISPAA YA SUMBAWANGA Mh. Waziri Mkuu, Sisi ni madreva tunaoendesha magari madogo ya abiria...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Dr. Rugemeleza A.K Nshala, rais mstaafu wa Tanganyika Law Society TLS amesema mfumo wa Jinai Haki ( Criminal Justice System) wa nchini Tanzania unahitaji mabadiliko makubwa kwa kufumuliwa na...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Ndugu zangu kwa Tanzania hakuna shirika la uma ambalo limepitia changamoto kama shirika la umeme TANESCO.Shirika hili tangu kipindi Cha Mzee wa ruksa wanasiasa walianza kulitumia kama kitega...
0 Reactions
1 Replies
802 Views
Rais Samia amesema kwa muda wa miezi sita amekuwa akiwasooma mawaziri na wateuke wake wote na wao pia wakimsoma. Hii maana yake nini. Maana yake ukiwa kaxini usihangaike kusoma sheria za kazi na...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wakuu. Baada ya kusoma kiarticle fulani, nimeona kitu hiki. Tawala nyingi huanguka kutokea ndani. Si kitu rahisi watu kutoka nje kuangusha utawala ambao upo established. Mfano ni Rais wa...
2 Reactions
2 Replies
885 Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Nguvu ya Chadema ni kubwa sana ndani ya Tanzania , na ndio maana Msajili wa vyama vya siasa Francis Mutungi alipoona Chadema imekataa kukutana na IGP kwa hoja nzito...
28 Reactions
50 Replies
4K Views
Habari wakuu, leo nimewaza na kufikiria sana,tunapodai katiba mpya watu wanasema ni upinzani ndo wanashida na katiba, lakini ukweli upo wazi hata CCM wenyewe katiba hii itawaumiza sana ,rais...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
NAWAANDIKIA kuwahimiza vijana wa CCM kuipigania CCM na serkali yake popote mtakapokuwa, iteteeni CCM, mtetee Rais wetu Samia Suluhu Hassan, semeni mema yanayofanyika na awamu ya sita kwa nguvu...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Nilishaandika maandiko mengi juu ya fikra za watawala wetu na Demokrasia tunayoiamini.. Ubaya NI kwamba Uchina ilipiga hatua kuanzia 1980 baada ya kufata Utawala wa kimagharibi. Waliporuhusu...
11 Reactions
36 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…