Anachofanya Rais Samia ni kuhangaikia ukuta wakati mlango upo

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Muda ni mwalimu mzuri, nani ajuae yatayofuata? Tuliwahi kusikia Zanzibar miaka ile ya Dr Gharib, halafu nn kilitokea, rais Allendale Amani Karume kukamilisha miaka 10 yake.

Nani anajua atakuwepo 2025?
Waliodhani watakuwepo sasa TUMEWASAHAU,
Waliodhani hawagusiki sasa WAMESHIKIKA kabisa.

Fanya kazi Rais mengine ya mbele yana Mungu.

Hukupanga kuwa Rais na Mungu anaujua mwisho wa wewe kuwa Rais.

Jukumu moja la kusimamia ni KUIONGOZA TANZANIA UKIWA NA HOFU YA MUNGU.

Usijitoe kwenye focus kwa kuwaza yajayo ambayo mwamuzi wake sio wewe.
Screenshot_20210916-110839.jpg
 
Umewaza KISHAMBA sana au kwa lugha nyepesi umewaza KISUKUMA SANA!
Sijaelewa kwanini umeihusisha hoja yake na wasukuma? Au tuseme kuwa wewe upo kundi fulani ambalo linapambana na wasukuma?
Ni vizuri ujifunze jinsi ya kutambua hao adui zako badala ya kutukana wasiojua makundi bali wanaangalia hoja iliyopo mezani.

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
 
Nimehamua Kumnyamazia Maana Alichokijibu Sicho nilichokileta Mm all in All Mungu Amsamehe
 
Muda ni mwalimu mzuri, nani ajuae yatayofuata? Tuliwahi kusikia Zanzibar miaka ile ya Dr Gharib, halafu nn kilitokea, rais Allendale Amani Karume kukamilisha miaka 10 yake.

Nani anajua atakuwepo 2025?
Waliodhani watakuwepo sasa TUMEWASAHAU,
Waliodhani hawagusiki sasa WAMESHIKIKA kabisa.

Fanya kazi Rais mengine ya mbele yana Mungu.

Hukupanga kuwa Rais na Mungu anaujua mwisho wa wewe kuwa Rais.

Jukumu moja la kusimamia ni KUIONGOZA TANZANIA UKIWA NA HOFU YA MUNGU.

Usijitoe kwenye focus kwa kuwaza yajayo ambayo mwamuzi wake sio wewe.
View attachment 1940066
Kusema ukweli bila ushabiki mama yetu amechemka katika hili.

Angekuwa na busara za akiba angekumbuka kulikuwa na kundi la kutaka Magufuli aongezewe muda wakati Mungu hata muda huu hajamuongezea, halafu nimesikitika zaidi mama wa kiislamu kutaka mambo kama haya, kweli madaraka matamu na ukilewa mvinyo wake ni zaidi ya pombe.

Hakuna aijuwaye kesho yake zaidi ya Mungu, hizi ni kufukuru kujipa uhakika wa uhai.

Mama ameteleza mbaya zaidi hao viongozi wake wa kiroho ndio kina sheikh Alhad Musa ni majanga matupu kwa jina la Yesu na Muhammad.
 
Sijaelewa kwanini umeihusisha hoja yake na wasukuma? Au tuseme kuwa wewe upo kundi fulani ambalo linapambana na wasukuma?
Ni vizuri ujifunze jinsi ya kutambua hao adui zako badala ya kutukana wasiojua makundi bali wanaangalia hoja iliyopo mezani.

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
Kuna hoja gani hapo zaidi ya kuwaza kishamba,kwa hiyo mtu asipige plan za miaka kadhaa ijayo kisa tu hana uhakika kama atakuwepo? na wewe pia umeniquote KISHAMBA au KISUKUMA!
 
Inawezekana Mzee wa msoga kamchomesha mama kwenye hili!!Kaamua Mama aanzishe vita rasmi ndani ya chama ili yeye apate uhalali wa vijana wake kulianzisha kimya kimya!!!SASA NI RASMI VITA VYA URAISI VIMEANZA NDANI YA CHAMA!!!WATAANZA KUTOANA ROHO NA KUUANA WAO KWA WAO!!!NADHANI KUNDI LA JK LITASHINDA NA ITATEGEMEA KAMA JK YUPO KWA MAMA AU KWA MWINGINE!!!!
 
Elimu nikitu muhimu sana ktk kuwa na taifa lenye ubora na sio elimu tu pia nilazima ifike mahali hii nafasi ya urais au makamu wa Rais iwe sio nafasi watu wanachaguwana tu haya ndio majibu tutulie sote sindano ifanye kazi... Mwanamke ndio waziri wa majeshi huko kwa mabeberu wameshindwa sisi tumeweza ila tutafurahi nakuchekea vyumbani. Hoja ya mtoto wa kike imefika mahali pake sasa kama tulikuwa tunafanya unafiki let keep silence and see ila some thing will happen no one will believe.
 
Mkuu huyu mama ana assert nafasi yake mapema, jambo ambalo linaweza kumgharimu, yeye angejikita kutafuta kukubalika kwa wananchi kama anayo hiyo ndoto ya kutaka kuendelea....
Umeongea vema kabisa kiongozi. Yaani dah, sijui hata niseme nini....hiki kinywa ni kakitu kadogo sana lkn kina madhara makubwa kweli kikitumika ndivyo sivyo!.
 
Muda ni mwalimu mzuri, nani ajuae yatayofuata? Tuliwahi kusikia Zanzibar miaka ile ya Dr Gharib, halafu nn kilitokea, rais Allendale Amani Karume kukamilisha miaka 10 yake.

Nani anajua atakuwepo 2025?
Waliodhani watakuwepo sasa TUMEWASAHAU,
Waliodhani hawagusiki sasa WAMESHIKIKA kabisa.

Fanya kazi Rais mengine ya mbele yana Mungu.

Hukupanga kuwa Rais na Mungu anaujua mwisho wa wewe kuwa Rais.

Jukumu moja la kusimamia ni KUIONGOZA TANZANIA UKIWA NA HOFU YA MUNGU.

Usijitoe kwenye focus kwa kuwaza yajayo ambayo mwamuzi wake sio wewe.
View attachment 1940066
Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi ni zimwi linalomtesa. Tusubiri kuona. Nani aijuaye kesho?
 
Sijaelewa kwanini umeihusisha hoja yake na wasukuma? Au tuseme kuwa wewe upo kundi fulani ambalo linapambana na wasukuma?
Ni vizuri ujifunze jinsi ya kutambua hao adui zako badala ya kutukana wasiojua makundi bali wanaangalia hoja iliyopo mezani.

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
Asipokuelewa atakuwa ni mtoto wa kikopo,nimemaliza!
 
Kila mtu atakufa. Huwezi acha mipango sababu ya kifo. Hata usipopanga utakufa. Kuhusu kupanga kuwa raisi ukikubali kuwa makamo wa raisi umeshakubali uwezekano wa kuwa raisi.
 
Muda ni mwalimu mzuri, nani ajuae yatayofuata? Tuliwahi kusikia Zanzibar miaka ile ya Dr Gharib, halafu nn kilitokea, rais Allendale Amani Karume kukamilisha miaka 10 yake.

Nani anajua atakuwepo 2025?
Waliodhani watakuwepo sasa TUMEWASAHAU,
Waliodhani hawagusiki sasa WAMESHIKIKA kabisa.

Fanya kazi Rais mengine ya mbele yana Mungu.

Hukupanga kuwa Rais na Mungu anaujua mwisho wa wewe kuwa Rais.

Jukumu moja la kusimamia ni KUIONGOZA TANZANIA UKIWA NA HOFU YA MUNGU.

Usijitoe kwenye focus kwa kuwaza yajayo ambayo mwamuzi wake sio wewe.
View attachment 1940066
Alichofanya mh.chifu mkuu Hangaya ni kulituliza jahazi lililojaa watia nia ya URAIS......

Katika hizi nchi zetu za kiafrika ,makomredi huwa wanazifikiria nafasi kubwa zaidi ya walionazo.....muda mwingi wanautumia kupanga mitandao.....ili KUWASITISHA HAMU HIYO ni lazima SAUTI YA MAMLAKA IWARINDIMIE VYEMA TU.....

SIEMPRE CHIFU MKUU HANGAYA ,aaamin 🙏

#KaziIendelee
#NchiKwanza
 
Back
Top Bottom