Ngaliwe
Senior Member
- Dec 30, 2015
- 161
- 364
Wapenzi na mashabiki wa soka, wanajua ikitokea timu imeshinda huku timu pinzani ikicheza kwa kasi na kiu ya kubadili matokeo, delaying tactic hutumiwa na timu inayofaidika na matokeo ya wakati huo, na huwa kawaida mwamuzi hutoa adhabu kwa wanaochelewesha mchezo.
Ikitokea wachezaji wa timu iliyo nyuma kwa matokeo ndiyo inachelewesha muda inafikirisha sana.
Vivyo hivyo kwenye haki, wanasheria wana msemo wao, Justice delayed is Justice denied, yaani haki iliyocheleweshwa ni haki iliyonyimwa. Maana yake katika uga wa sheria ni kwamba kama kuna fursa ya kumpa mtu haki yake wakati anaoihitaji, inatakiwa aipate wakati huo, linalowezekana leo lisingoje kesho, ukimpatia mtu huyo haki yake kesho wakati alitakiwa aipate leo, unakuwa umemnyima haki.
Mtuhumiwa wa kosa lolote aliyeko mahabusu hahitaji haki yoyote zaidiya shauri lake kuendeshwa kwa haki na kwa wakati ili haki yake iipatikane kwa wakati.
Kama ilivyo kwenye soka kwa timu iliyo nyuma kwa matokeo, mawakili wa utetezi wanategemewa kuwa watu wa kwanza kabisa kuhakikisha haki ya mteja wao inapatikana kwa wakati yaani kesi isikilizwe kwa wakati na kasi muafaka.
Inapotokea kama tunavyoshuhudia kwa kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, mawakili wa utetezi ndiyo wanakuwa kama wanachelewesha inafikirisha sana.
Mawakili wa utetezi wanapo apply delaying tactics inasumbua akili na kuibua maswali mengi kuliko majibu.
Kwanini kesho inacheleweshwa kwa technicality kutoka upande unaotarajiwa kuhimiza kesi isikilizwe kwa kasi?

- Ucheleweshaji huu unawapa manufaa gani watuhumiwa wanaosubiri kwa hamu haki yao itendeke?
- Ni matakwa ya wateja au ushauri wa mawakili?
- Kuna jambo lililojificha nyuma ucheleweshaji huu?