Dkt. Yamungu Kayandabila ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Taifa la Maendeleo (NDG)

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
‪Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Dkt. Yamungu Kayandabila kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC)‬

‪Dkt. Naomi Katunzi ameteuliwa kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) kwa miaka mingine mitatu‬

AAB03DF5-E5B6-4843-A7EF-06F1063AFB43.jpeg
 
Back
Top Bottom