Kwa uchapakazi huu wa Rais Samia, CHADEMA tujipange sana 2025, tunaweza kukosa hata Mbunge mmoja

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,466
20,212
Muonekano wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato utakavyokuwa mara baada ya ujenzi wake kukamilika kwa awamu ya kwanza inayohusisha barabara za kuruka na kutua ndege pamoja na jengo la abiria.

Mkataba kwa ajili ya ujenzi wa kiwanja hicho unagharimu takriban shilingi bilioni 165 za kitanzania na unatekelezwa na kampuni tatu kutoka China ambazo ni Sinohydro Coorporation limited, M/s Beijing Sino-Aero Construction Engineering Co. Limited pamoja na M/s China Jiangxi International Economic and Technical Cooperation Co. Ltd ambapo unatarajiwa kukamilika ndani ya kipindi cha miezi 36 kutoka sasa.

241960214_4658261370874462_3821504363516655070_n (1).jpg
241964473_4658261407541125_704399957312330298_n (1).jpg
241976535_4658261414207791_9068781344626095357_n.jpg
242030511_4658261430874456_7489994016797937718_n.jpg
 
Muonekano wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato utakavyokuwa mara baada ya ujenzi wake kukamilika kwa awamu ya kwanza inayohusisha barabara za kuruka na kutua ndege pamoja na jengo la abiria.
Mkataba kwa ajili ya ujenzi wa kiwanja hicho unagharimu takribani shilingi bilioni 165 za kitanzania na unatekelezwa na kampuni tatu kutoka China ambazo ni Sinohydro Coorporation limited, M/s Beijing Sino-Aero Construction Engineering Co. Limited pamoja na M/s China Jiangxi International Economic and Technical Cooperation Co. Ltd ambapo unatarajiwa kukamilika ndani ya kipindi cha miezi 36 kutoka sasa.

View attachment 1937867View attachment 1937868View attachment 1937869View attachment 1937870
Hicho kiwanja wale wagogo wa chamwino ambao hata mlo mmoja ni shida na wao watapanda ndege??

Utopolo
 
Kumbuka Katavi hawana madarasa na nilikuwa nasoma document moja nimetumiwa na inner core ya magogoni kwamba nchi inapumulia pabaya no money 💰 nchi nane zimepunguza misaada Kwa asilimia 25!!

nchi zinazotukopeshaga bado hazijaridhika na mwenendo wa tawala hii Kama inatekeleza haki za binadamu sawa sawa Pia na kujua jinsi wanavyoyalinda maisha ya binadamu wake,

in few weeks to come china naye Ana tamko
 
Kumbuka Katavi hawana madarasa na nilikuwa nasoma document moja nimetumiwa na inner core ya magogoni kwamba nchi inapumulia pabaya no money nchi nane zimepunguza misaada Kwa asilimia 25!!

nchi zinazotukopeshaga bado hazijaridhika na mwenendo wa tawala hii Kama inatekeleza haki za binadamu sawa sawa Pia na kujua jinsi wanavyoyalinda maisha ya binadamu wake,

in few weeks to come china naye Ana tamko
Kwa namna hii JPM Asingefikisha 5 years
 
Muonekano wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato utakavyokuwa mara baada ya ujenzi wake kukamilika kwa awamu ya kwanza inayohusisha barabara za kuruka na kutua ndege pamoja na jengo la abiria.
Mkataba kwa ajili ya ujenzi wa kiwanja hicho unagharimu takribani shilingi bilioni 165 za kitanzania na unatekelezwa na kampuni tatu kutoka China ambazo ni Sinohydro Coorporation limited, M/s Beijing Sino-Aero Construction Engineering Co. Limited pamoja na M/s China Jiangxi International Economic and Technical Cooperation Co. Ltd ambapo unatarajiwa kukamilika ndani ya kipindi cha miezi 36 kutoka sasa.

View attachment 1937867View attachment 1937868View attachment 1937869View attachment 1937870
Hamtarudia hilo kosa. Wenyewe mmeona changamoto za bunge lenu wenyewe.

Amandla...
 
Wanajengewa wabunge hao wagogo jukumu lao ni kukatwa tozo.
Waje Dar kuombaomba maana naona ndio wamebakia kufanya hiyo ndio economic activity yao na ni kama hata viongozi wao hawana mpango wa kuwapa mbadala.
 
Huyo anae wawakilisha bungeni aliupiga mwingi mpaka kuwa mgonjwa ghali zaidi Afrika.
 
Ukisikia: "kwa mambo haya ya Mama" unaweza kufikiri kuwa siyo mwizi wa kura!🚶🚶🚶 Propaganda bhana!😁😁😁
7nbv654311.jpg
 
Tume ikiwa huru mtapata wabunge wengi sana tu. Wananchi wanachukia tozo kuliko wanavyopenda Kiwanja cha ndege, si umeona Chato?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom