Hakuna wakati mwingine wowote zaidi ya sasa wapinzani kuchukua nchi kama kungekuwa na wapinzani wa kweli

mtoto wa mchungaji

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
242
500
Kama tungebahatika hata kupata chama kimoja tu kinachojiendesha kitaasisi hapa Tanzania, 2025 tunge zungumza mengine, maana kilamtu leo anajua kuwa CCM inakuna nazi.

Lakini lolote linaweza tokea kwani mama tayari amesema kunavijicho choko ndani tena vinapitia kwenye vijigazeti vya Uhuru.
 
Niza doyi

JF-Expert Member
Dec 10, 2019
1,938
2,000
Nguvu ya upinzani ni mpaka CCM wavuragane kama enzi za Mrema,Slaa, Lowassa.
Ukiona wameanza kutimuana jua yaliyotabiriwa na Manabii yanakaribia kutimia.
 
Tua Ngoma

JF-Expert Member
Apr 14, 2015
2,679
2,000
Umekaririshwa maneno ya kipumbavu unakuja kuyatapika hapa, upinzani wa kweli ni upi kwako?
Yaani unataka kusema wapinzani wenye viongozi nchi nzima kuanzia kijiji hadi taifa,waliosimamisha asilimia zaidi ya tisini ya wagombea ubunge uchaguzi wa mwaka jana,na asilimia zaidi ya 80 ya wagombea udiwani,asilimia zaidi ya 80 serikali za mitaa mwaka 2019.
Wenye ofisi kila wilaya na wanaoendelea kujenga ofisi nchi nzima kwa michango ya wanachama,walio na mfumo mzuri wa fedha unaosifiwa na msajili na CAG.
Hao kwako siyo wapinzani wa kweli kwa kuwa chama chenu ( CCM) mmeamua kuwaita siyo wapinzani wa kweli?

Unataka wapinzani wa kweli wa aina gani ewe mnafki.

Mrema,Cheyo,Lipumba,Shibuda au Zitto?

Kama ni hao si wapeni nchi.
 
Fursakibao

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
3,748

Umetoa povu Sana lakini mleta uzi ina point hapa.

Kiukwrli wapinzani hakuna, wote ni wachumia tumbo.

Ila bado mda wanao. Tupewe mtu wa kueleweka tuioigr ccm chini
 
Kilaga

JF-Expert Member
Feb 23, 2013
2,249
2,000
Umetoa povu Sana lakini mleta uzi ina point hapa.

Kiukwrli wapinzani hakuna, wote ni wachumia tumbo.

Ila bado mda wanao. Tupewe mtu wa kueleweka tuioigr ccm chini
Jitathimini kwanza wewe unayesema Hao bado Sana. Nafasi yako ni ipi kama mwananchi na matakwa yako yanatimizwaje kama wewe hushiriki bali unachofanya ni kupiga domo na kutathimini wenzako tu. Hata hao CCM unaona wanachofanya kwa sababu ni umma unafanya. Serikali ipo na ina mifumo wake wa kazi. Haijalishi ni chama gani kinaisimamia.
 
Ame

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
4,303
2,000
Adi atokee yule jamaa wa Guinea
Unapenda sana kulazimisha mambo...Wapinzani wamekosa uvumilivu na pia wamechukua a wrong approach kwakuji compromise...Utaendaje kwa mataifa beberu kuomba msaada? Kwa wema upi walionao kwetu?
 
nyakubonga

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
3,428
2,000
Umekaririshwa maneno ya kipumbavu unakuja kuyatapika hapa, upinzani wa kweli ni upi kwako?
Yaani unataka kusema wapinzani wenye viongozi nchi nzima kuanzia kijiji hadi taifa,waliosimamisha asilimia zaidi ya tisini ya wagombea ubunge uchaguzi wa mwaka jana,na asilimia zaidi ya 80 ya wagombea udiwani,asilimia zaidi ya 80 serikali za mitaa mwaka 2019.
Wenye ofisi kila wilaya na wanaoendelea kujenga ofisi nchi nzima kwa michango ya wanachama,walio na mfumo mzuri wa fedha unaosifiwa na msajili na CAG.
Hao kwako siyo wapinzani wa kweli kwa kuwa chama chenu ( CCM) mmeamua kuwaita siyo wapinzani wa kweli?

Unataka wapinzani wa kweli wa aina gani ewe mnafki.

Mrema,Cheyo,Lipumba,Shibuda au Zitto?

Kama ni hao si wapeni nchi.
haya uliyoandika ni muhimu lakini hayatoshi kukuita mpinzani wa kuaminiwa kushika dola,

kuna mambo mengi ya aibu wanafanya wapinzani wa tanzania bila kujua wananchi wanaona,

tanzania tuna upinzani unaoamini kwenye nafasi na sio sera nzuri

hawana sera wala itikadi za kueleweka ila wanataka wananchhi wawaamini,
 
Tua Ngoma

JF-Expert Member
Apr 14, 2015
2,679
2,000
haya uliyoandika ni muhimu lakini hayatoshi kukuita mpinzani wa kuaminiwa kushika dola,

kuna mambo mengi ya aibu wanafanya wapinzani wa tanzania bila kujua wananchi wanaona,

tanzania tuna upinzani unaoamini kwenye nafasi na sio sera nzuri

hawana sera wala itikadi za kueleweka ila wanataka wananchhi wawaamini,
Hawana sera au hizo ni propaganda za kijinga za chama chako za kusema wapinzani hawana sera?
Huzifahamu sera za CHADEMA? Hujui itikadi na falsafa ya CHADEMA?
Kutokujua kwako hakufanyi wawe hawana sera.
Acha kukariri mambo ya kijinga.
 
Tua Ngoma

JF-Expert Member
Apr 14, 2015
2,679
2,000
Umetoa povu Sana lakini mleta uzi ina point hapa.

Kiukwrli wapinzani hakuna, wote ni wachumia tumbo.

Ila bado mda wanao. Tupewe mtu wa kueleweka tuioigr ccm chini
Ficha upumbavu wako,sema kipi nilichosema ni cha uongo acha kuropoka kama upo joto.
 
Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
9,555
2,000
Hawana sera au hizo ni propaganda za kijinga za chama chako za kusema wapinzani hawana sera?
Huzifahamu sera za CHADEMA? Hujui itikadi na falsafa ya CHADEMA?
Kutokujua kwako hakufanyi wawe hawana sera.
Acha kukariri mambo ya kijinga.
Mkuu usimuulize huyo jamaa aliyesema upinzani umekosa sera za kueleweka na itikadi iliyo imara.

Wewe tutajie hapa itikadi za chama ulichokitaja kama mfano.
Tuwekee na sera zao, usituulize ambao hatuzijui au hatuzielewi.

Kabla ya 2015 itikadi kuu ilikuwa kupambana na ufisadi, kukawekwa orodha ya mafisadi papa na tuhuma zao. Uchaguzi wa 2025 akasafishwa nje ya mahakama mtuhumiwa mkuu na vita dhidi ya ufisadi wa mali za umma ikafia hapo.
 
Kupambana na ufisadi siyo itikadi we kilaza.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom