Msafara wa Rais Magufuli wakati akielekea Simiyu

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,171
23,991
Ikulu
5.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe magufuli akiwa na viongozi mbali mbali mara baada ya kushuka kwenye kivuko cha MV Misungwi wakati akitokea Chato mkoani Geita.
4-MAGU.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe magufuli akiwasalimia wakazi wa Magu mkoani Mwanza wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Simiyu kwa ajili ya ufunguzi wa barabara ya Bariadi-Lamadi.
2-KISESA.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe magufuli akiwasalimia wakazi wa Kisesa mkoani Mwanza wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Simiyu kwa ajili ya ufunguzi wa barabara ya Bariadi-Lamadi.
1.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe magufuli akiwasalimia wakazi wa Nyamikoma Wilayani Busega wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Simiyu kwa ajili ya ufunguzi wa barabara ya Bariadi-Lamadi.
simi4.jpg

simi1.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono wakati alipowasili Bariadi kwa ajili ya kuifungua rasmi barabara ya Bariadi-Lamadi yenye urefu wa kilometa 71.8. Wengine katika picha ni Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Antony Mtaka na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa
 
Ikulu
5.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe magufuli akiwa na viongozi mbali mbali mara baada ya kushuka kwenye kivuko cha MV Misungwi wakati akitokea Chato mkoani Geita.
4-MAGU.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe magufuli akiwasalimia wakazi wa Magu mkoani Mwanza wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Simiyu kwa ajili ya ufunguzi wa barabara ya Bariadi-Lamadi.
2-KISESA.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe magufuli akiwasalimia wakazi wa Kisesa mkoani Mwanza wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Simiyu kwa ajili ya ufunguzi wa barabara ya Bariadi-Lamadi.
1.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe magufuli akiwasalimia wakazi wa Nyamikoma Wilayani Busega wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Simiyu kwa ajili ya ufunguzi wa barabara ya Bariadi-Lamadi.
Weka na Lamadi na mkula
 
Rais mwenye misimamo iliyo thabiti kwa maendeleo ya Tanzania yetu. Mwenyezi Mungu akulinde akupe maisha marefu uzidi kuiweka Tanzania katika mstari ulioonyooka. Sasa hivi tumeanza kuiona nidhamu katika matumizi ya pesa. Zile keep change zimepotea kabisa.
 
Labda kwako .....wengine keep change kama kawa ......
 
Tusubiri wakilia njaa wataambiwaje......nadhani agizo la kuleta chakula litatolewa fasta hukohuko,wahaya endeleeni kubeba msalaba wenu kuelekea golgotha
 
Tunashukuruje kwa taarifa...maana siku ya leo ilikuwa haina hata chembe ya habari nzuri...asante mwaya

Taarifa hii haiwezi kubadili habari mbaya kuwa nzuri. Taarifa ya IFM iko palepale kwamba mdodoro wa Kiuchumi kutokana na SERA MBOVU ZA JPM utaendelea kulitafuna Taifa bila huruma.
 
Back
Top Bottom