#COVID19 Kama ni kweli waliochanja chanjo ya Corona hawazidi laki 4 hadi sasa basi Waziri wa Afya na Naibu wake wajiuzulu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
47,761
2,000
Nimemsikia msemaji wa serikali akisema waliochanjwa chanji ya covid 19 hadi sasa ni watanzania laki 3 na ushee, hii ni chini ya 50% ya chanjo zilizoletwa zaidi ya mwezi sasa.

Kama takwimu hizi ni sahihi basi Wizara ya afya inafeli sana.

Nini kifanyike?

Kwako mwanabodi.....!
 
dolevaby

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
12,324

Kwanini Waziri badala ya alieileta

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
mzeewaSHY

Member
Aug 31, 2021
81
125
Nimemsikia msemaji wa serikali akisema waliochanjwa chanji ya covid 19 hadi sasa ni watanzania laki 3 na ushee, hii ni chini ya 50% ya chanjo zilizoletwa zaidi ya mwezi sasa.

Kama takwimu hizi ni sahihi basi Wizara ya afya inafeli sana.

Nini kifanyike?

Kwako mwanabodi.....!
Tatizo tangu mwanzo wa hii pandemic kwetu hapa Tz suala hili lilichukuliwa kisiasa zaidi na kiimani badala ya kuchukuliwa kisayansi zaidi, that was a big mistake na ndio hilo linaitesa serikali na wizara yake ya afya, na litaendelea kuitesa serikali kwa sababu baadhi ya wanasiasa wameshalifanya tatizo hili la corona kuwa ni mtaji wao wa kujipatia umaarufu zaidi na zaidi,
 
Mbao za Mawe

JF-Expert Member
May 11, 2015
23,351
2,000
Suala la chanjo limekuja wakati ambao serikali awali iliwaambia watu wake kuwa chanjo si salama.

Hao hao wamegeuka wanaanza kusema chanjo ni nzuri, utata wa kauli zao umefanya wananchi kusimamia kile wanachokiamini.

Suala la afya tuliliweka kisiasa sana sasa kuitoa ile siasa ndani ya wizara hiyo ni kazi ngumu.
 
mbavusimba

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
634
1,000
Yaani wangeleta dawa ya kunywa au vidonge watu wengi wangekuwa wamekula hizo dawa lakini suala la kuchoma sindano ni mtihani mkubwa kwa watu wengi
 
cotyledon

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
901
1,000
Tatizo tangu mwanzo wa hii pandemic kwetu hapa Tz suala hili lilichukuliwa kisiasa zaidi na kiimani badala ya kuchukuliwa kisayansi zaidi, that was a big mistake na ndio hilo linaitesa serikali na wizara yake ya afya, na litaendelea kuitesa serikali kwa sababu baadhi ya wanasiasa wameshalifanya tatizo hili la corona kuwa ni mtaji wao wa kujipatia umaarufu zaidi na zaidi,
Sayansi inatakiwa izidi hiyo siasa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom