RC Mkoa wa Dar es Salaam asema atakayeleta vurugu mkoani kwangu ashughulikiwe na aliyemkamata asiachiwe


Samweli Mathayo

Samweli Mathayo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Messages
1,523
Likes
1,442
Points
280
Age
52
Samweli Mathayo

Samweli Mathayo

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2017
1,523 1,442 280
Makonda ameyasema hayo jijini Dar es salaam kwamba mkoani kwake anataka maendelo tu.

Pia kagusia na mheshimiwa mzito kupelekwa milembe, angalia dk ya 3 ya video


Kwa upande wangu naona zitto awekwe tu kwa kupika data na anazipikia ndani ya mkoa wa dsm
 
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2007
Messages
19,422
Likes
5,489
Points
280
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2007
19,422 5,489 280
Makonda.ameyasema hayo jijini.dar es salaam.kwamba mkoani kwake anataka maendelo tu

Nani huyo aliyekamatwa asiachiwe?

Duh! Ila jamaa anaonekana ni very powerful Tanzania kwasasa! Hapo anaongea kama vile ni kwa niaba ya chama na serikali! Very powerful inaonekana. Pengine juu ya Waziri Mkuu kabisa!
 
R

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Messages
15,690
Likes
21,278
Points
280
Age
21
R

Retired

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2016
15,690 21,278 280
Brigadier Isaac Maliyamungu

One of the most evil was this Lieutenant who was in charge of quelling dissent in the army. Before he joined the army, he had been a gatekeeper at nyanza Textile Industries, where Kisajja(Henry Kyemba's brother) was personnel manager. At the time of the coup, he commandeered a tank with which he shot up the entrance to the Entebbe airport terminal, killing two priests. After the coup he headed Amin's execution gangs, with unlimite power to execute anybody in the army, even officers senior to him His modes of execution are as atrocious as anything imaginable. he is fond of disemboweling. Along with several other officers, he is known to have executed his victims by having them run over by tank. But perhaps the grisliest episode concerned Francis Walugembe, who had previously been Mayor of Masaka. In September 1972, Walugembe was arrested, had his genitals cut off and was paraded through the streets before being killed and dismembered. So violent and brutal is Malyamungu that even Amin once commented to me that he feared he might be going mad.

A Zairean.
 
Mdudu halisi

Mdudu halisi

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2014
Messages
2,672
Likes
4,353
Points
280
Mdudu halisi

Mdudu halisi

JF-Expert Member
Joined May 7, 2014
2,672 4,353 280
Hivi Bashite na Mahakama mwenye maamuzi juu ya kuachiwa kwa mtuhumiwa ni nani? Hawa ndiyo wanaovunja katiba kwa kutoheshimu mihimili fulani ya dola.
 
Kibo255

Kibo255

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Messages
4,424
Likes
3,300
Points
280
Kibo255

Kibo255

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2013
4,424 3,300 280
Mali ya mungu akumbuke wakati ni ukuta na kila zama na kitabu chake akuna anayejua kesho yake miaka huisha haraka ikawa usiku ikawa mchana na unayemtegemea akawa Kamaliza muda wake unaweza hisi Mungu anakuonea kumbe ulikuwa upande wa shetani enzi zako
 
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Messages
8,630
Likes
13,993
Points
280
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2015
8,630 13,993 280
kazi kwelikweli...
 

Forum statistics

Threads 1,249,429
Members 480,660
Posts 29,698,124