Mwaka mmoja uliopita
Sasa anatumi za kukodisha
Ambazo gharama ni kubwa na ukizingatia tuna ndege za serikali na marubani wa serikali kwa ajili ya usafiri wa viongozi!
Usajili wa wanachama wapya kwa ile njia ya kisasa iitwayo CHADEMA DGITAL Mkoani Iringa unaendelea kwa kasi ya Kutisha, Lakini bila kelele yoyote ile, ni mwendo wa kimya kimya tu.
Jambo la...
Nimeona ni vema jambo hili liwekwe wazi ili kuondoa upotoshaji maana tayari kuna wapotoshaji wameanza kazi yao.
Uongozi na hasa uongozi wa Juu kama Urais, unaendeshwa kwa utaratibu uliowekwa...
Kama wewe umekuwa mfuatiliaji mzuri wa siasa zetu unaweza kukumbuka jambo moja ambalo lilianzia padogo lakini mwisho likaishia kuwa jambo kubwa kwelikweli....Sakata la Dowans ni mfano mmoja...
WATOTO WETU WOTE WATAINGIA FORM 1 MWAKA HUU HATUNA SECOND SELECTION TUMEJENGA MADARASA YA KUTOSHA RAIS AMETOA 842 BILIONI alisikika kiongozi mmoja akinadi kwa bashasha na masham sham sera za Chama
Cartoonist Oppter John Fwema anashikiliwa na polisi kituo cha Oysterbay. Nimeongea na mdogo wake na amenambia kuwa Oppter alikamatwa nyumbani kwake Bunju siku ya Ijumaa tarehe 3 September 2021kwa...
Hii ni roho mbaya au, huyu mtu amefikisha umeme karibu vijiji vyote Tanzania, akasababisha CCM kushinda uchaguzi, alikuwa mchapakazi, nimekuwa namuona yeye amepiga kazi, Tanesco sawa kulikuwa na...
Some say nothing gold can last forever,
And 2 believe this need no proof,
I have witnessed all that was pure in me,
And be changed by the evil men can do ,
The innocence possessed by children ...
Ama hakika dunuani kuna mambo.
Mzee wetu Jecha alishindwa kabisa kujieleza mbele ya waandishi wa habari.
Hivi hili tatizo inawezekana likawa nini haswa?
Tafadhalini jamani mwenye uelewa...
Habari za hivi punde kuhusiana na kikao kinachoendelea kwenye ukumbi wa Mwalimu nyerere zinasema mzee Kingunge Ngombale Mwilu ametimuliwa rasmi kuwa kamanda wa uvccm Taifa kwa kushindwa kutimiza...
Kama ni kosa au udhaifu kwenye itikadi ya hayati Magufuli basi ni pale alipoamini kuwa ndugu wa karibu watamsaidia zaidi katika kuyafikia malengo na matamanio yake ya kisiasa.
Nimeona SMZ ya Dr...
My Take 1.
Je, tuseme hii ni serikali ya mkono wa chuma na tuanze maombi ya kupata serikali ya awamu ya 7?
My Take 2.
Akitiwa nguvuni mtu mmoja kiajabu-ajabu basi tuungane wote kukemea. Sio...
03 September 2021
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh. Othman Masoud, ofisi ya DPP lazima iwe inachunguzwa kama wenzetu huko Uingereza Ofisi ya Crown Prosecution yaani DPP huchunguzwa...
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema serikali imepokea mkopo wa zaidi ya dola za Marekani 500m
Fedha hizo zitatumika kujazilizia kwenye Tozo za mshikamano na hivyo kujenga madarasa...
Watanzania hakuna utawala unaoweza kuinuka kwenye taifa kwa bahati mbaya. Mungu ana uwezo wa kuruhusu au kuzuia jambo lolote kwa sifa na utukufu wa jina lake.
Kuna watu walilalamika tangu kwa...
Hope mko poa kabisa.
Kesi ya Freeman Mbowe imetufungua macho wengi,
Yaani polisi wanakamata mtuhumiwa let say mtuhumiwa anaitwa Faru John,, afu wakienda kumuandikisha wanaandika may be Fredrick...
Mwalimu mkuu shule ya msingi Maweni huko Igunga ambaye ni mwanamke anaishi kwenye nyumba ya udongo na miti kwa miaka kumi sasa.
Mwalimu huyo amesema nyumba hiyo inavuja kila mahali hivyo wakati...
Kwa kweli kama kuchenjiwa na serikali tumechenjiwa.
Maana haijawahi kutokea kwenye historia ya taifa letu Chadema na watanzania kupata harassment ya namna hii.
Tukiandamana tunapewa kibano...
Hapo vip!!
Katika pitapita zangu nilishuhudia machinga wakitaka kumchomea moto mfanyabiashara mmoja pale Ngulelo stand.
Na ugomvi ulianza baada ya mfanya biashara yule kuwambia waondoe mabanda...