Za asubuhi wadau,
Uongozi wa hayati ulikua na mambo mengi yenye ukakasi. Mojawapo ni hili la kuwauzia wamachinga kitambulisho kisicho na utambulisho wowote wa anaye kimiliki.
Manaake...
Asikudanganye mtu hakuna chochote kigeni kwenye hii dunia. Mambo yanayotokea leo hii yalishakuwepo kwenye huu ulimwengu miaka maelfu kwa maelfu iliyopita.
Unaongelea kuhusu rushwa, chuki, wivu...
Huyu baba alikuwa akiwatukana wazungu mara kwa mara na kuwaita majina ya ajabu ajabu
Aliwavimbia wareno kule Angola mpaka wakasepa zao Ulaya
Akawa mwenyekiti wa nchi zilizo mstari wa mbele...
Wamangati na wanasai wanaochunga ngombe zao karibu Tanzania nzima bila mpango ni tatizo.
1. Kwanza kule Monduli kumekuwa kama Jangwa
2. Huku Bagamoyo na Lindi ni uvamizi kila siku na wizi
3. Sasa...
LISSU ATANGAZA VITA DHIDI YA WAMACHINGA TANZANIA. ASEMA, WAMEKUA KERO KWA WAFANYA BIASHARA WA KIGENI.
(kutoka Tunduma Mbeya)
Anayetarajiwa kuwa Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia tiketi ya...
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa watanzania kupata chanjo ya CORONA kwa kuwa tiba ya maradhi hayo hugharimu taifa.
Pia amesema ukipata corona kupona au kufa ni hamsini kwa hamsini, na...
Kwanza nadeclare interest, namuunga mkono mama na nina imani naye.
Ila nikifuatilia hii ziara yake ya Arusha napata shida kidogo kama wenzetu wenye madaraka wanaelewa vizuri tofauti ya shughuli...
Troubled Tanesco risks losing access to gas pipeline
Saturday April 14 2018
The Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) building in Ubungo, Dar es Salaam. The firm owes $109 million to...
Akihutubia wananchi mkoani Kilimanjaro mheshimiwa Rais amesema mara baada ya sisi kuanzisha tozo ya kwenye mitandao ya simu ambayo ilipigiwa kelele na wananchi wengi, na Serikali ya Uingereza nayo...
Tanesco loses Sh16 billion per month
MONDAY OCTOBER 18 2021
Director general for Tanzania Electric Supply Company Limited (Tanesco), Mr Maharage Chande.
Summary
Tanesco is a big organisation...
TRA na BOT watajitetea kwa sababu zozote zile lakini sisi tunaolipa kodi ktk nchi hii, kwa kujua nani anamiliki KCB (Kenya Commercial Bank) hii ni chini ya kiwango cha uzalendo uliohubiliwa miaka...
Nasubiri majibu yenu juu ya nililouliza kwani nami GENTAMYCINE kama Mwanasiasa na Mgombea Urais mtarajiwa wa 2025 nataka kujua ili kama vipi nami niende kwa Machifu wa Unguja na Pemba...
Naomba ufafanuzi kutoka kwa mwenezi wa CCM komredi Shaka ambaye ametokea UVCCM hivi pale Vijana hamuandai viongozi watarajiwa tena.
Maana safu za uongozi wanajazana machadema watupu vijana wetu...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Mh. Mahawanga Janeth leo ameshiriki katika uzinduzi wa Kongamano kubwa la Wanawake wakiristo, Women For Christ Alliance (WOCA) 2021 lililoandaliwa na...
Tunaimbiwa mapambio mazuri kila siku kwa sababu ya Tozo.
Tozo inajenga madarasa
Tozo inajenga vituo vya afya
Tozo sijui inajenga barabara
Tozo imeleta sijui vitu kedekede
Wakati huo huo...
Kutokana na hali ya hewa ya Dodoma kuwa ya Kitropical Serikali imeamua kusaini dola za Marekani Milion 10 kwa ajili ya kuazisha vituo 5 maalumu vya Joto na Baridi. Vituo hovyo vitatumika wakati...
Chato inyang'anywe hadhi zote ili kiherehere cha kua mkoa na kutaka kuwa nchi likome. Hichi kijidola mayai cha bwana yule kinyanganywe hadhi kabisa ya kuwa hata Wilaya. Nasema hivyo maana kila...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kabila la wamasai wanakawaida ya kuhamahama hali inayoweza kuleta changamoto katika zoezi la sensa mwaka 2022.
Amesema watu wasipojitokeza itakuwa ngumu kupanga...
Saalaam kwenu WanaJamvi
Baada ya pilikapilika nyiIngi kupita, pilika za kutangaza nia, kuchukua fomu, kampeni na hatimaye Uchaguzi mkuu hatimaye sasa Jahazi la nchi yetu limeanza kutulia kabla...