Wanabodi,
Hebu tujuzane hapa sababu zilizopelekea Rais wa awamu ya 5 hayati Magufuli kuwalinda Wamachinga hata kwa kutengua teuzi zake mbalimbali.
Je, sababu hizo zina msingi wowote au ni huruma...
Mi naamini wabunge wa chadema wote wa dar walishinda ispokuw temeke ambapo ni ngome ya ccm.
Wakurugrnzi waliambiwa watangaze wanaccm hivyohivyo come what may. Mfano imedhihirika wazi mbowe...
Tunahitaji Rais mwenye maono ya kuthubutu kama Obama, mbishi na mbwatukaji kama Ahmedinajad, asiyetishiwa na wawekezaji kama Hugo Chavez, mwenye kuzungukwa na watu wenye uwezo kama Lula na mwenye...
Pamoja na Serikali kutoa TSH bilioni 3 kwa ajili ya kuwalipa watumishi waliopambana dhidi ya UVIKO 19 na kuahidiwa mwezi wa Tisa mwaka huu kuwa ndani ya wiki mbili watapata pesa zao Bado hakuna...
BASHE AKABIDHI ZAHANATI, GARI YA KISASA YA WAGONJWA NA PIKIPIKI KATIKA KIJIJI CHA IDUDUMO
Nzega Mjini, TABORA.
Mbunge wa jimbo la Nzega Mjini na Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe...
Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Gazeti kongwe la RAIA MWEMA ni kwamba aliyekua mkuu wa Wilaya ya Hai bwana Ole Sabaya anaogelea kwenye mabilioni ya shilingi.
Kazipataje hizi pesa wakati...
Nashangaa mpaka leo bado CCM na viongozi wa Serikali hawajajua tofauti ya wapinzani wa kaskazini na wa sehemu nyingine kama Kigoma au Mbeya
Huku Arusha, Kilimanjaro na Tanga tatizo kubwa sio...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo amesema kwa mujibu wa mujibu wa sensa ya viwanda ya Julai 2021 (NBS/WVB), idadi ya viwanda ni 80,969
Amebainisha kuwa kati ya viwanda hivyo...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi 500,000 za Chanjo dhidi ya COVID19 ya Pfizer kupitia Mpango wa COVAX. Imeelezwa, Dozi hizo zitachanjwa mara mbili...
Kunausemi unasemaga ukistaajabu ya Musa.
Leo katika jiji la Arusha aliyekuwa kamanda wa chama cha Demcrasia na Maendeleo Chadema Ally Bananga alirudisha kadi ya chama hicho katika mkutana mkubwa...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) wametoa wito kuwa katika Katiba Mpya ambayo wanaidai iwe na kipengele kinachotaka wateule wa Rais wapitishwe Bungeni kisha wandelee na kazi zao
Hayo...
Rais John Magufuli akiwa mkoni Mwanza na kusikiliza kero za wananchi amewaruhusu wafanya biashara wadogo wadogo maarufu kama machinga kupanga bidhaa zao hata kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya ama...
Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini...
WAFANYABIASHARA ndogo wa Jiji la Arusha maarufu kama (machinga), wametoa zawadi ya ng’ombe kwa Rais John Magufuli. Wametoa zawadi hiyo kama ishara ya shukrani baada ya Rais kutangaza...
Baada ya jambazi Lengai Ole Sabaya kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela, limejitokeza kundi la WANAFIKI wanaotaka Sabaya aonewe huruma.
Lakini ni watu haohao walikaa kimya Sabaya alipovunja miguu...
Vodacom na Tigo walikuwa na kifurushi cha @1000tsh dk 100, sms 100 na 1Gb 3days au kwa @1500 tsh kwa 7days.
Sasa hivi voda cha 3days wameweka 800MB na tigo 750MN.
Airtel ndio wameua zaidi in...
Nimejaribu kuangalia wabunge wa Bunge hili jipya walioingia kwa mara ya kwanza na waliorudi bado January Makamba anawakimbiza wote kuanzia exposure na talanta za uongozi.
Kama kauli yako...
Kwa kweli sina milioni saba ya kulipa... Ila Mkuu ana maneno mazito! Anasema waathirika wasikae tu huko wanangoja hela za serikali kwa sbb wanasikia zimechangwa,waanze kujisaidia kwanza wao na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemuagiza Waziri na Katibu Mkuu katika Ofisi ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kusitisha mara moja utekelezaji wa...