Kesi ndogo ya Mbowe iliyopangwa kutolewa hukumu tarehe 19/10/2021 yasogezwa mbele

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,745
218,335
Taarifa ya Chadema iliyosambazwa kwa vyombo vya habari hii hapa

Taarifa_kwa_umma..jpg
 
Kuahirishwa siku moja sio mbaya, muhimu haki sio itendeke bali ionekane imetendeka.

Habari njema zaidi ni jaji kiongozi Siyani kuendelea kusikiliza shauri hilo, hii itasaidia kusogeza mambo kwa kasi ya kuridhisha kuliko kesi kupangiwa jaji mwingine.
 
kwa nini hawakuisogeza nyuma? any idea guys?
Utaratibu tu, nirahisi kusogezwa mbele kuliko kiharakisha uamuzi, kwani baada ya usikilizaji nafikiri upo muda was kupitia marejeo ya yote yaliyofanyika au kusikilizwa Ili kufanya uamuzi ulio wa haki, ila Kwa mjuzi atufunze utaratibu was kawaida baada ya usikilizwaji was shauri mahakamani kuelekea kwenye utoaji wa hukumu.
 
Bila dada yetu Erythrocyte kutujuza habari za Mbowe, hakuna mwanachadema ambae angekuwa anakumbuka kuwa kuna mtu anaitwa Mbowe anafungwa. Wanachama wake wamekuwa wepesi kumsahau mwenyekiti wao, sababu ya kuvizia agenda za serikali.. mfano kwa sasa wako busy kujadili kuhusu msafara wa raisi na hukumu ya Sabaya, mchumba wake nk. Ama kweli kila mchuma janga hula na wa kwao.
 
Kwa hiyo ndugu Dudumizi, umeona hukumu imechelewa na matamanio Yako na kundi lenu bambikizi nikuona hukumu inawahi na msiyempenda, mliyembambikia akikutwa na hatia, kumbuka Mungu ni wetu site na anachukizwa na uovu, Pia wapenda haki, watenda haki na wa chukia maovu kuliko mnaopenda maovu na kufurahia kuona mabaya yakitokea kwa wengine.
 
Moyo wa mtu msitu. Wewe sio Mungu au malaika wa kujua kila alilofanya. Kuna mtu mchana sheikh/padri/au mchungaji na wakati huo huo usiku jambazi, mlevi au mchawi. Kwahiyo katika maisha unatakiwa kumuamini kwanza Mungu, afu we mwenyew na kidogo wazazi wako. Kinyume na hapo kuna siku utakuja kulizwa, kuibiwa au kuumizwa na mtu ambae haukutegemea tena yule ambae unamuamini haswa.
 
Sasa niambie wewe na zandramo kundi lenu lipi kwani mambo yenu mengi yanashabihiana.
 
Kuahirishwa siku moja sio mbaya, muhimu haki sio itendeke bali ionekane imetendeka.

Habari njema zaidi ni jaji kiongozi Siyani kuendelea kusikiliza shauri hilo, hii itasaidia kusogeza mambo kwa kasi ya kuridhisha kuliko kesi kupangiwa jaji mwingine.

itaonekana kama kwa sabaya
 
Bila dada yetu Erythrocyte kutujuza habari za Mbowe, hakuna mwanachadema ambae angekuwa anakumbuka kuwa kuna mtu anaitwa Mbowe anafungwa. Wanachama wake wamekuwa wepesi kumsahau mwenyekiti wao, sababu ya kuvizia agenda za serikali.. mfano kwa sasa wako busy kujadili kuhusu msafara wa raisi na hukumu ya Sabaya, mchumba wake nk. Ama kweli kila mchuma janga hula na wa kwao.
Labda usahau wewe
 
Back
Top Bottom