Waziri Kitila: Hadi Julai 2021, Tanzania ilikuwa na Viwanda 80,969

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo amesema kwa mujibu wa mujibu wa sensa ya viwanda ya Julai 2021 (NBS/WVB), idadi ya viwanda ni 80,969

Amebainisha kuwa kati ya viwanda hivyo, Viwanda vikubwa ni 628, Viwanda vya kati ni 684, Viwanda vidogo ni 17,267 na Viwanda vidogo sana ni 62,400

Ameeleza kuwa kisera, tafsiri ya ukubwa wa kiwanda ni kuwa Kiwanda kikubwa kina ajira zaidi ya 100 na uwekezaji wa zaidi ya Milioni 800

Kiwanda cha kati kina ajira 50-99 na uwekezaji wa Milioni 200 hadi Milioni 800. Kiwanda Kidogo kina ajira 5-49 na uwekezaji wa Milioni 5 hadi Milioni 200. Kiwanda kidogo sana kina ajira 1-4 na uwekezaji wa chini ya Milioni 5
 
Angetueleza vinatengeneza nini, au ni hivyo vya kusaga sembe na kushona madera.
 
Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo amesema kwa mujibu wa mujibu wa sensa ya viwanda ya Julai 2021 (NBS/WVB), idadi ya viwanda ni 80,969

Amebainisha kuwa kati ya viwanda hivyo, Viwanda vikubwa ni 628, Viwanda vya kati ni 684, Viwanda vidogo ni 17,267 na Viwanda vidogo sana ni 62,400

Ameeleza kuwa kisera, tafsiri ya ukubwa wa kiwanda ni kuwa Kiwanda kikubwa kina ajira zaidi ya 100 na uwekezaji wa zaidi ya Milioni 800

Kiwanda cha kati kina ajira 50-99 na uwekezaji wa Milioni 200 hadi Milioni 800. Kiwanda Kidogo kina ajira 5-49 na uwekezaji wa Milioni 5 hadi Milioni 200. Kiwanda kidogo sana kina ajira 1-4 na uwekezaji wa chini ya Milioni 5
Huyu sasa naona kaja na Masufuria manne ni kiwanda.
 
Kwa hiyo tukiongeza viwanda vidogo sana si pia tumeongeza viwanda. Tungependa kujua kila aina na ongezeko lake.
Tunasema viwanda 89,000 lakini 62,000 mtaji wake ni chini ya mil. 5

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Kiwanda cha mfanyakazi mmoja ni kiwanda cha aina gani hicho? Au yaleyale ya Cherehani
 
Kwa hiyo tukiongeza viwanda vidogo sana si pia tumeongeza viwanda. Tungependa kujua kila aina na ongezeko lake.
Tunasema viwanda 89,000 lakini 62,000 mtaji wake ni chini ya mil. 5

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app

Ccm mbele kwa mbele, ukinunua friji tu tayari umefungua kiwanda cha kutengeneza barafu! Hatari sana
 
Kwa hiyo tukiongeza viwanda vidogo sana si pia tumeongeza viwanda. Tungependa kujua kila aina na ongezeko lake.
Tunasema viwanda 89,000 lakini 62,000 mtaji wake ni chini ya mil. 5

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Suala ni mchango wa sekta ya viwanda katika uchumi (GDP) unakuwa kwa kiwango gani mwaka hata mwaka na kama sekta hiyo sasa imechukuwa nafasi kubwa kiasi gani katika uchumi kuliko awali? Idadi ya viwanda haijawahi kuwa kigezo cha kujivunia. Huyu Waziri hana Mkurugenzi wa Viwanda hapo wizarani au anajiamlia mwenywe kueleza mambo ambayo hana kina nayo? Msaidieni.
 
CCM na serikali yake ni waongo na wezi wakubwa, kila awamu inakuja na takwimu za idadi ya viwanda vyake.

IMG-20211018-WA0016.jpg
 
Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo amesema kwa mujibu wa mujibu wa sensa ya viwanda ya Julai 2021 (NBS/WVB), idadi ya viwanda ni 80,969

Amebainisha kuwa kati ya viwanda hivyo, Viwanda vikubwa ni 628, Viwanda vya kati ni 684, Viwanda vidogo ni 17,267 na Viwanda vidogo sana ni 62,400

Ameeleza kuwa kisera, tafsiri ya ukubwa wa kiwanda ni kuwa Kiwanda kikubwa kina ajira zaidi ya 100 na uwekezaji wa zaidi ya Milioni 800

Kiwanda cha kati kina ajira 50-99 na uwekezaji wa Milioni 200 hadi Milioni 800. Kiwanda Kidogo kina ajira 5-49 na uwekezaji wa Milioni 5 hadi Milioni 200. Kiwanda kidogo sana kina ajira 1-4 na uwekezaji wa chini ya Milioni 5
Sera yetu, peke yetu, ili kuhalalisha ujinga wetu na kujifurahisha. Ndio maana tumegota wakati waliyowahi kuwa sawa na sisi, wanasonga mbele.
 
Back
Top Bottom