Video: Kongamano la Katiba Mpya lafana huko Mwibara Musoma

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,673
218,182
Kama ilivyo ada , ile Taasisi bora ya Vijana barani Africa inayoitwa BAVICHA ambayo imechukua jukumu la kuongoza makongamano ya Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi nchini Tanzania kwa gharama yoyote , imefika Jimbo la Mwibara na kuendesha kwa mafanikio kongamano kabambe la Katiba mpya .

Ushahidi huu hapa

Hivi Karibuni Mama atatoa Baraka mchakato uendelee, walikuwa wakimpotosha, kwa weledi wake hafungamani na dhuluma.
 
View attachment 1972464
Tulishasema hiki ni zaidi ya Chama cha siasa
 
Hivi Karibuni Mama atatoa Baraka mchakato uendelee, walikuwa wakimpotosha, kwa weledi wake hafungamani na dhuluma.
Ninakubali hilo la "atatoa Baraka mchakato uendelee", maana hakuna namna.

Hilo la "kupotoshwa" nadhani unatafuta kumsitiri tu yeye kwa sababu zako mwenyewe.
 
wamemfuata nyumbani RPC aliyesema tamko la Rais ni sheria ya nchi…

haya wakamate uwashtaki tuone…
 
Kama ilivyo ada , ile Taasisi bora ya Vijana barani Africa inayoitwa BAVICHA ambayo imechukua jukumu la kuongoza makongamano ya Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi nchini Tanzania kwa gharama yoyote , imefika Jimbo la Mwibara na kuendesha kwa mafanikio kongamano kabambe la Katiba mpya .

Ushahidi huu hapa

View attachment 1972464

Msituharibie Jimbo Letu na kutuletea fujo nendeni kwenu Moshi mkafanye fujo huko
 
Kumbe Mwibara iko Musoma? Mbona enzi za Mtamwega akiwa mbunge walikuwa wanatuambia kuwa iko Bunda?!
Kweli tembea uone, uujue na ukweli halisi!
 
Back
Top Bottom