technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,842
Rais bado ananua ndege cash wakati uchumi unapumlia mashine?
Rais anakopa kujenga madarasa ambayo hayalipi Kodi Wala kulipia mikopo.
Unakopa pesa ili kununua barakoa seriously pesa za kulipa huo mkopo zitatoka wapi?
Unatakiwa kukopa kutengeneza project kubwa kama SGR na Bwawa la umeme Rufiji na miradi ya barabara na maji ambayo italeta matokeo in long-run.
Project zote za Afya na elimu zilitakiwa kuwa funded na pesa za ndani Kama tuna uwezo wa kukusanya trion 1.8+ tunakwama wapi?
Nilitegemea pesa zote za covid19 zingeelekezwa kwenye Utalii, Kununua mazao yote ya wakulima walioanguka, Kuweka ruzuku kwenye mbolea ili wakulima walime Tena, Kuanzisha project za kilimo Cha umwagiliaji ili kuwa na uhakika wa chakula, Kutafuta masoko ya mazao ya wakulima nje na kufufua viwanda na biashara zilizokufa.
Imagine mfuko wa mbolea 50kg Ni laki moja wakati gunia la mahindi Ni elfu 30 halafu unaenda kulipia cash ndege billion 500. Wakati 80% Ya watanzania wapo kwenye kilimo!!
Mama Samia bado hashauriwi vizuri ama anajishauri vibaya wengi tuliaminishwa Magufuli hashauriki kumbe hata washauri hakuna Kuna watu wa kujikomba kwa watawala tu.