ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,964
- 3,895
Hii tarif 4 ambapo umeme unanunua unit 1 shilingi 100 ni hasara kwa shirika, kwani Bei ya umeme tanesco anauziwa 200 kwenda juu yeye anawapa watu kwa shilingi 100 kigezo ni umasikini na matumizi madogo.
Matajiri na watu wenye uchumi juu ndo wanaongoza kwa kuwa tarrif hii, huku mikoa inayoongoza kwa wateja wanaonunua umeme kwa 100, ikiwa ni Daresalaama,Arusha, Kilimanjaro, mbeya na mwanza, mikoa ambayo watu wanapesa kuliko, hii tarrif itaua shirika
Pia tarif 6 hii wanapewa wafanyakazi wa TANESCO , shirika linatumia zaidi ya Bilioni moja 1 kila Mwezi kuwapa wafanyakazi umeme wa ofa , shirika halitakaa likue