Upanuzi wa barabara ya Kimara - Kibaha: Tenda yatangazwa

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,185
18,513
Inavyoonekana upanuzi wa barabara ya Kimara - Kibaha utafanywa kwa kiwango cha barabara 4 na sio barabara 6.

Pia ili kupunguza gharama hautakuwa na fly-over kama ulivyotangazwa na mkuu.

Kuona tender docs, chungulia website ya TANROADS.
 
Inavyo onekana upanuzi wa barabara ya kimara -kibaha utafanywa kwa kiwango cha barabara 4 na sio barabara 6 . Pia ili kupunguza gharama hautakuwa na fly over kama ulivyotangazwa na mkuu.

Kuona tender docs chungulia website ya tanroads.
Mkuu tupatie hiyo Website tupate kuona hilo tangazo. Kuna sehemu mkuu alisema kutakuwa na flyovers kwenye hiyo barabara kweli? Mimi kumbukumbu zangu zinaonyesha kwamba barabara ya Dar - Chalinze express way ndio itakuwa na flyovers.
 
Duh website inasikitisha kwa hili

ICT bongo bado tabu kwa wengi haswa serikalini, hawajui umuhimu wa mengi.

Screenshot_20170107-115755.jpg
 
Mkuu tupatie hiyo Website tupate kuona hilo tangazo. Kuna sehemu mkuu alisema kutakuwa na flyovers kwenye hiyo barabara kweli? Mimi kumbukumbu zangu zinaonyesha kwamba barabara ya Dar - Chalinze express way ndio itakuwa na flyovers.
Hivi zile flyover 6 zinajengwa barabara gani vile?
 
Na CHATO International Airport imefikia kwenye stage gani Wakuu??
Maana huu ujenzi naona kama unafanyika kimya kimya!!
 
Inavyoonekana upanuzi wa barabara ya Kimara - Kibaha utafanywa kwa kiwango cha barabara 4 na sio barabara 6.

Pia ili kupunguza gharama hautakuwa na fly-over kama ulivyotangazwa na mkuu.

Kuona tender docs, chungulia website ya TANROADS.

Zilizopo ni barabara 2 Ili upate 6 unaongeza 4.
Hata kujumlisha haujui!
 
Mkuu tupatie hiyo Website tupate kuona hilo tangazo. Kuna sehemu mkuu alisema kutakuwa na flyovers kwenye hiyo barabara kweli? Mimi kumbukumbu zangu zinaonyesha kwamba barabara ya Dar - Chalinze express way ndio itakuwa na flyovers.
Hivi kuna barabara ya Kimara-Kibaha na hapo hapo kuna Dar-Chalinze expressway (highway)? Au ni tofauti ya jina tu kwa kitu hicho hicho? Samahani sina nia mbaya mkuu, naomba kupewa elimu.
 
Naam hizo ni barabara mbili tofauti. Dar - Chalinze Express way (Highway) ni barabara ambayo itakuwa ni mpya kabisaaa na nasikia itaanzia Kigamboni kupita vikindu na kuelekea chalinze. Kimara - Kibaha ni hii ambayo ni existing.
 
Back
Top Bottom