JOYOPAPASI
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 250
- 408
KAZI IENDELEE NDO DIRA YA KUMUENZI HAYATI #JPM, RAIS #SAMIA HATAKI MANENO MANENO SILAHA YAKE NI KALAMU KUMUENZI.
Hatumuenzi #JPM kwa kujificha kwenye vichaka vya shule ya uongozi, Baba yetu anaenziwa kwa Vitendo yaani Kazi Iendelee, leo wabunge wetu, mameya wetu, Viongozi wetu tunawasikia mtaani kwa Vitendo wakisema Asante sana Rais #Samia Suluhu Hassan kwa kutuidhinishia Tsh kadhaa wa kadhaa kukamilisha kivuko fulani, barabara hii ya ndani, daraja la....nk
Juzi kwa macho yangu nimemshuhudia Mkuu wa mkoa wa Pwani Abubakar #KUNENGE wilayani Kibiti akiwa na kamati ya Siasa kukagua na kutoa maagizo ukamilishaji wa daraja muhimu la kiuchumi Daraja la Mbuchi nimeshuhudia shukrani ya dhati RC #KUNENGE akimshukuru Rais #Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha pesa, na hiyo ndo dhana halisi ya kumuenzi #JPM na si porojo za shule ya uongozi kafundishe wanao.
Royal Tour inaenda kuondoa porojo za mawaziri, manaibu, makatibu wakuu wa wizara ya Maliasili na utalii, kuomba pesa za matangazo ya vivutio vyetu nje ya nchi, leo Rais #Samia ndiye Star wa Royal Tour.
Royal Tour ianenda kuishawishi dunia kuwa Tanzania ni salama, Dunia inaenda kutambua kuwa Mlima Kilimanjaro, Mbuga ya Serengeti nk ziko Tanzania, Dunia inaenda kushuhudia madini yetu ya Tanzanite nk, kwa kifupi Royal Tour ni fursa kwa Tanzania yenye mengi ya kuiambia Dunia kuhusu utalii, uwekezaji na hata utamaduni wake na ndo dhana ya kuwaenzi waasisi.
Namnukuu Rafiki yangu Chigaitan na Mapinduzi yake vijijini
Takribani Malighafi zenye thamani ya Tsh Trilion 165 vijijini, zimeshindwa kusafirishwa vijijini kwa sababu ya Miundombinu Malighali hizi ni utajiri wa taifa. Kila dakika kumi taifa linapoteza rasilimali mapato zenye thamani ya Tsh Billion 600 kwa kukosekana kwa miundombinu vijijini.
Nchi inapoteza rasilimali watu vijijini kutokana na miundombinu mibovu vijijini, kushughulika na miundombinu vijijini serikali itaokoa zaidi ya Trilion 22.7, zinazopotea kila mwaka kutokana na miundombinu mibovu, kule wanaishi zaidi ya asilimia 65 ya watanzania wanaojenga Uchumi wa nchi.
Mwaka wa fedha 2022/2023 zinahitajika Tsh Trilion 8.6 kuweka seriouness ujenzi wa miundombinu vijijini Serikali icheze ngoma zote, lakini mwaka 2022/2023 zinahitajika Tsh Trilion 8.6 kubadili hali ya Miundombinu vijijini na mtu pekee mwenye uwezo wa kusimamia hili ni Prof Makame Mbarawa.
#KaziIendeleeNaRSSH