mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,050
- 4,904
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Selaman Jafo amesema marufuku kuzalisha karatasi za plastiki zinazobandikwa kwenye vizibo vya chupa ya maji na mirija ya kunywea vinywaji. Marufuku hiyo itaanza baada ya miezi sita Oktoba 11, 2021.