Waziri wa Fedha na Makamu wa Rais ni PhD holders wa uchumi. Tunakwama wapi?

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
21,204
34,119
Kuna saa najiuliza shida ni elimu yetu mbovu au ni viongozi tulionao ndio wabovu?

Inakuaje PhD holder wa uchumi unashindwa kuelewa madhara ya haya makato kwenye uchumi wa nchi?

Makamu wa Rais ni PhD holder wa uchumi/fedha na Waziri wa Fedha ni PhD holder wa uchumi kutoka pale jalalani (nimemnukuu Kabudi).

Je, hawa wote wanashindwa mshauri Rais kweli?

Hivi na yule Mshauri wa Rais wa mambo ya uchumi yupo kweli?
 
PhD na vyeo kuna kimoja huwa kinawekwa pembeni mkuu.

Ingekuwa Elimu dili Walimu wangelipwa mamilioni!
 
Si umkosoe kiuchumi?

Tatizo ni wewe kumbishia msomi wa uchumi bila sababu yeyote. Kwanini unakuwa mbishi?

Au labda tueleze wewe ulitaka iwe vipi?
 
Kilio chenu kimesikika.

c1cd67ba-a1b1-4402-a9f4-e24b3008ee37.jpg
 
Phd ni cheti cha kufundishia tu hakina Execution yoyote kwenye ulimwengu wa kutatua matatizo,especially Africa ndio maana wanatakiwa kufundisha tu.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
PhD na profesa kibongo bongo ni miaka mingi ya kukaa chuoni sio uwezo...hata ww rudi chuo baada ya miaka kadhaa we ni profesa...
Hawana msaada
 
Finance ni zaidi ya kusoma uchumi.

Tena ongeza na Rais na yeye kasoma uchumi ila wapi

Tatizo hapa sio kusoma tatizo ni hakuna uchumi shirikishi bongo.

Makodi inatakiwa uwaite wadau muya-discuss kabla ya kui-introduce

Wenyewe wanayabeba kama yalivyo na kuyaleta
 
Jana huyu waziri kakusanya wananchi jimboni kwake kwa kuwahonga 50,000/ na kutudharau Watanzania kwamba mbona misiba tuna changia lakini tunanshindwa kuchangia tozo za miamala.

Juzi juzi katuambia bajeti imesha piata haiwezi kurekebishwa.

Tulisema simu nyingi, Mwingulu ni muuaji, sijali ni uuaji gani, ila hafai kuwa waziri. Hamtakii mema Mh. Samia Rais wa nchi. Mwigulu ana furahia Mh. Samia kufeli ili nae uchaguzi ujao achukue fomu.
 
Kuna saa najiuliza shida ni elimu yetu mbovu au ni viongozi tulionao ndio wabovu?

Inakuaje PhD holder wa uchumi unashindwa kuelewa madhara ya haya makato kwenye uchumi wa nchi?..
Tatizo hapa ni siasa ,sio uchumi
Kilamuda wanawaza kutibuliana
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom