beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,877
- 6,326
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuchanja kunaipunguzia Serikali gharama za matibabu na za kupoteza nguvu kazi ndani ya Nchi. Amesema, "Tukikaa bila kuchanja maradhi yale yakiingia, yanaingia kwa kasi"
Amesema, "Nimeingia Kilimanjaro nikawa nawaambia wenzangu mbona huku watu hawana habari kabisa! Na kwa takwimu tulizonazo Kilimanjaro, Moshi tumepoteza watu. Nimekaa na RC kaniambia tumeshachanja"
Hata hivyo, pamoja na kuchanja amewataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari akisema Ugonjwa bado upo