Je, ukibahatika kuwa Rais wa Tanzania unatakiwa Uwaongoze Watanzania katika Mfumo gani Bora kati ya hii ifuatayo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,925
1. Kwa Kufuata Katiba?

2. Kwa Nidhamu na Utu?

3. Kwa Kuwazidishia Madeni IMF na WB?

4. Kwa Kuwadanganya kama Watoto?

5. Kiupole ila Moyoni ukiwa Mnafiki?

6. Kwa Kubambikia Wapinzani Kesi?

7. Kwa Jicho la Huruma la Wine?

Nasubiri majibu nikijiandaa kuwa Rais.
 
Kwa jicho la huruma kama Hangaya
Watanzania wanataka Kuongozwa kwa Jicho la Huruma? Ndiyo maana 'Miafrika' hasa 'Watanzania' tunadharaulika sana nje ya Mipaka yetu ( abroad and overseas ) ila hatujui tu.
 
Watanzania wanataka Kuongozwa kwa Jicho la Huruma? Ndiyo maana 'Miafrika' hasa 'Watanzania' tunadharaulika sana nje ya Mipaka yetu ( abroad and overseas ) ila hatujui tu.
Kama huna jicho tulia hivyo hivyo
 
Hapo itabidi nipige combination kama mbili tatu hivi.
3,4 & 6.
 
Back
Top Bottom