Nakusudia kufungua kesi dhidi ya mhe. Samia (alitenda kosa kabla hajawa rais)

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
11,848
2,000
Mhe. Samia alipokuwa VP ktk kipindi cha kampeni alitoa matamshi yanayobinya haki na demokrasia ya raia wa Tanzania. Aliwaambia wananchi kwamba "hata ukipiga kura kule kwingine ccm itaunda serikali".

Haya ni matamshi yanayoashiria kwamba Samia aliijua na alishiriki kupanga mipango ya uchafuzi wa uchaguzi mkuu 2020 ambayo baadaye ilikuja kutekelezeka kama kauli ya Samia ilivyosema. Ushahidi wa hili ni kuzagaa kwa kura bandia zilizosambazwa nchi nzima ktk mabegi meusi.

Hivyo anakusudia kufungua kesi dhidi yake kwa matamshi haya maana ktk kipindi hiki alikuwa hana kinga yoyote ya kikatiba..

Kesi hii nikishinda Samia anavuliwa urais (atakuwa disqualified) na atapelekea gerezani.
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,817
2,000
Mhe. Samia alipokuwa VP ktk kipindi cha kampeni alitoa matamshi yanayobinya haki na demokrasia ya raia wa Tanzania. Aliwaambia wananchi kwamba "hata ukipiga kura kule kwingine ccm itaunda serikali".

Haya ni matamshi yanayoashiria kwamba Samia aliijua na alishiriki kupanga mipango ya uchafuzi wa uchaguzi mkuu 2020 ambayo baadaye ilikuja kutekelezeka kama kauli ya Samia ilivyosema. Ushahidi wa hili ni kuzagaa kwa kura bandia zilizosambazwa nchi nzima ktk mabegi meusi.

Hivyo anakusudia kufungua kesi dhidi yake kwa matamshi haya maana ktk kipindi hiki alikuwa hana konga yoyote..

Kesi hii nikishinda Samia anavuliwa urais (atakuwa disqualified) na atapelekea gerezani.
🤣🤣🤣"...HATA UKIPIGA KURA KWENGINE CCM ITAUNDA SERIKALI..." ni lazima iendane na tafsiri yako ?!!!

Tafsiri yangu ni tofauti nawe.....

Yangu inamaanisha kuwa CCM INA WANACHAMA NA WAPENZI WENGI KULIKO WANANCHI WACHACHE WANAOIPINGA....KWA hiyo kura zao zitakuwa ni chache za kutounda serikali.....

Halafu Rais hashtakiwi hata akistaafu.....🤣🤣
 
Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
11,848
2,000
Mkuu unaota wewe.......me siipendi serikali ya wezi CCM lakin kusapot (utopolo ) vitu ambavyo haviwezekan hapana.
Mkaa bure siyo sawa na mtembea bure. Nitakutumia mahakama za Afrika mashariki na Afrika. Ikibidi nitaenda hata the Hague
 
USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
6,537
2,000
Mhe. Samia alipokuwa VP ktk kipindi cha kampeni alitoa matamshi yanayobinya haki na demokrasia ya raia wa Tanzania. Aliwaambia wananchi kwamba "hata ukipiga kura kule kwingine ccm itaunda serikali".

Haya ni matamshi yanayoashiria kwamba Samia aliijua na alishiriki kupanga mipango ya uchafuzi wa uchaguzi mkuu 2020 ambayo baadaye ilikuja kutekelezeka kama kauli ya Samia ilivyosema. Ushahidi wa hili ni kuzagaa kwa kura bandia zilizosambazwa nchi nzima ktk mabegi meusi.

Hivyo anakusudia kufungua kesi dhidi yake kwa matamshi haya maana ktk kipindi hiki alikuwa hana konga yoyote..

Kesi hii nikishinda Samia anavuliwa urais (atakuwa disqualified) na atapelekea gerezani.
Bado unabreed miaka yote hiyo ndio maana akili zimekufa kabisa

USSR
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
8,892
2,000
Nadhani sheria inasema hatashtakiwa kwa makosa aliyoyafanya kabla ya kuwa Rais, akiwa Rais, na baada ya kuwa Rais, humpati tena.

Article 46 (1) & (2) of URT Constitution 1977.

Article 46 (1) - Hatashtakiwa kwa criminal charges akishakuwa president.

Article 46 (2)- Hatashtakiwa kwa civil proceedings unless complaint ifunguliwe 30 days before hajawa president.

Hiki kifungu kitakuondolea haki ya kufungua mashtaka kwa issue yako kuwa time barred.
 
magu2016

JF-Expert Member
Oct 8, 2017
6,914
2,000
Mhe. Samia alipokuwa VP ktk kipindi cha kampeni alitoa matamshi yanayobinya haki na demokrasia ya raia wa Tanzania. Aliwaambia wananchi kwamba "hata ukipiga kura kule kwingine ccm itaunda serikali".

Haya ni matamshi yanayoashiria kwamba Samia aliijua na alishiriki kupanga mipango ya uchafuzi wa uchaguzi mkuu 2020 ambayo baadaye ilikuja kutekelezeka kama kauli ya Samia ilivyosema. Ushahidi wa hili ni kuzagaa kwa kura bandia zilizosambazwa nchi nzima ktk mabegi meusi.

Hivyo anakusudia kufungua kesi dhidi yake kwa matamshi haya maana ktk kipindi hiki alikuwa hana konga yoyote..

Kesi hii nikishinda Samia anavuliwa urais (atakuwa disqualified) na atapelekea gerezani.
Endelea kuota nyumbuzzz
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom