Paul Makonda alivamia Clouds TV na silaha za kivita hakuitwa gaidi

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Wadau nadhani tunakumbuka tukio la uvamizi wa kituo cha televisheni cha Couds, Mikocheni jijini DSM uliofanywa na Paulo Makonda. Je, huu haukuwa ugaidi?

Mbona hatukuona polisi kumkamata na kumfungulia mashtaka ya ugaidi au ugaidi ni kwa wanaodai Katiba Mpya?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Umemuonea makonda,Gaidi alikuwa Nape aliyeunda tume ikathibitisha kisha katolewa bastola mchana.
 
Back
Top Bottom