nduza
JF-Expert Member
- Feb 7, 2019
- 1,592
- 2,506
Maisha ya watanzania wengi ni magumu sana kwa wakati huu
Upatikanaji wa umeme wa uhakika unasaidia angalau kwa kiasi fulani kuganga hela za kuendesha maisha kwa shida shida hivyohivyo
Tunapokuwa na umeme wa kubahatisha unatuweka kwenye hali gani
Lakini mbali na watanzania maskini ni hasara kiasi gani inatengenezwa kunapokatika umeme?
Makamba aondoke atuachie TANESCO yetu
Kwanini waziri Kalemani aliondolewa na alikuwa anafanya vizuri?
Kuna siri gani kati ya Rais kumuweka Makamba kwenye hii wizara?
Dunia ya mwaka 2015 kurudi nyuma siyo ya 2021 Makamba asitake kuturudisha nyuma ni jambo lisilowezekana
Kwa kipindi hicho tuliamini umeme hautoshi tukaishi maisha yale lakini kumbe tunao umeme wa kutosha kabisa ni ujinga ujinga wa makanjanja wachache tu
Mamilioni wakose umeme ili wachache wa import generators?
Mtu mwenye mawazo haya hafai hata kuwa baba wa familia watoto wake inabidi asaidiwe kulea.
MAKAMBA AONDOKE UWAZIRI UMEMSHINDA