OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,011
- 114,357
Watoto wa kitaa tunasema mchawi mpe mwanao akulelee tuone kama atamroga
Nani anamkumbuka Rioba mchambuzi ''uso wa mbuzi". Tasnia ya habari ilililala pale,mzalendo wa kweli na mtetezi wa haki za wanahabari na wala habari
Leo hii ni Mkurugenzi wa TBC kawekwa na chama kwenye mfuko wa shati. Kimyaaaaa kama sio yeye.
Leo hii mwandishi anatiwa ndani na polisi Ayubu Rioba akiwa hana habari,sheria kandamizi inasainiwa na mteule wake sijawahi kumsikia hats akikohoa!
Hivi jamani ukiteuliwa na mtu usiye na imani naye ukakataaa utakuwa umevunja sheria ipi???Maana hii ni aibu kwa Mkurya,Yaaani Chacha anakuwa vile kweli
Inasikitisha sana