Kibinadamu mtu ambaye unapambana naye na kumtesa kwa njia zote ikiwemo Ushirikina wa Majini ya Bahari , halafu yeye haonyeshi masikitiko yoyote na anaamua kucheka na kufurahi huwa inaogopesha sana...
Kama lipo eneo Magufuli aliwa-win wabongo ni kuwaaminisha kwanza Tanzania ni Nchi tajiri huko akitolea mifano akiba ya rasilimali tulizonazo na zaidi akiwaachia uhuru usiyo na mipaka walalahoi...
WanaJF
Hili nimelifikiria muda mrefu sana na kwa ushahidi wa maneno na mazingira kuwa
1. Cyprian Musiba ni mtekaji aidha anahusika na utekaji wa watekaji wa wote au baadhi ya waliotekwa.
2...
Ni ukweli usiopingika, mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa, na mustakabali wa Taifa ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi, inapotokea mwanamke ananyanyaswa ni wazi...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuimarisha Mifumo ya Usimamizi wa Sheria na Utoaji wa Haki, akitoa rai kwa Mahakama kuendelea kutoka Hukumu na Maamuzi ya Haki kwa...
TABIA YA VIONGOZI WA SERIKALI:
Wiki iliyopita nilimsikiliza Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango akielezea namna wateule wa Rais katika nafasi mbalimbali wanavyopandishiana mabega, nikakumbuka maisha...
Picha hizi 2 ni za kweli, moja ni ya mwaka 2014 tukiwa msibani kwa Baba yake Rostam Aziz na nyengine ni 2015 kwenye studio za Azam TV nilipokutana na ndg. Ben Membe. Nashangaa kuwa Msemaji Mkuu...
Membe Amshitaki Musiba
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa mstaafu, Bernard Membe, amefungua shauri mahakama kuu dhidi ya Cyprian Musiba akimtaka alipe mabilioni ya fedha kwa...
Kuna wanasiasa Mapunguani neno punguani ni mtu asio na akili sahihi, tumekuwa tunazungumzia Muafaka wakitaifa kuna wanasiasa mapunguani kabisa wanadhani ni kukaa mezani kugawana madaraka na vyeo...
Moja ya matukio makubwa yaliyowahi kutokea Tanzania ambayo vizazi vijavyo vitarudi na kuvitafakari itakuwa ni kampeni za uchaguzi wa Urais wa 2020 wa mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu.
Ni...
Tuna vyombo vya dola na chama dola, wenzenu kuanzia jana wanatoa makovu yaliyotokana na uchaguzi wa mwaka jana. Zipo tuhuma za kupigwa Risasi kukatwakatwa na kulazimishwa kwa watu kurejea CCM na...
"Mamlaka ya CAG ni kukagua taasisi za Serikali. Kitu kinachokwamisha ukaguzi wa Sekta yetu ya Madini ni makampuni yanayochimba madini nchini kumilikiwa na wageni, hivyo hakuna umiliki wa...
Kwa ambaye ameenda Aprili akienda leo atashangaa makaburi ya Ununio yalivyoongezeka mji umepanu Kinondoni inasubiri sana yamepangika kwa heshima ukiwaza sana unaweza omba ubakie huko
Kuna njia ya...
Hii inaitwa kukurupuka na kukosa watu walio serious kwenye uandaaji na utetezi wa kesi ya jinai. Kwa mahakama zilizo huru na ambazo zinajitegemea kilichofanywa na shahidi wa pili kinatosha...
Ndugu zangu,
Saikolojia unasema "ukiona mtu anazungumzia jambo lililomponyoka mara kwa mara ujue bado analitamani" kwa mfano mtu kaachwa lakini kuwa kucha badala ya kufanya kazi nyingine...
Sekta imeanza kufanya tafiti sita (6) kuhusu tabia za virusi za virusi vya Korona kwa kuangalia 1) askari wa kinga mwili (antibodies); 2) uelewa, mtazamo na utendaji (KAP Study); 3) utafiti wa...
Kuna Halmashauri nyingi hapa nchini zimetoa maelekezo kwamba vifaa vya ujenzi watanunua wao wakati huo pesa imeingizwa kwenye accounts za shule, TAMISEMI kama mmetoa maelekezo haya basi wekeni...
Kuna usemi unasema mtegemea cha ndugu hufa maskini!!!!
Sasa kwanini tuzidi kuwa omba omba hivi hawa china au nchi zinazoendelea walianza vipi kwanini tuendekeze misaada
Kwanini tusiazie hapa...
_______________________
Siku chache zilizopita nilizungumzia chimbuko la misaada na Mikopo na kuona kwamba nchi za Ulaya zilipiga hatua kubwa kupitia misaada hiyo na Mikopo ambayo kwa lengo la...
Nashangaa sana, waziri simbachawene anafanya kazi zipi? Au hata majukumu yake baadhi hayajui.
Nitazungumzia swala la ajali za barabarani kwa sasa naona ndio janga lililopo.
Nadhani ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.