Mnyika ondoka nafasi ya Katibu mkuu, viatu vya Dk Slaa vimekupwaya

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
1,919
2,000
Tuachie chama chetu, hauna mkakati wowote kuhakikisha tunasimama kama enzi za Dk Slaa.

Mbaya zaidi chama kama chama kinafanyiwa maonevu makubwa lakini hauchukui hatua hata kushitaki UN na tume za haki ya binadamu.

Chama kinazolota lakini huchukui hatua kabisa. Unalipwa posho kubwa bure tu ndio maana unakuwa na mambo yako tu.
 
Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
1,800
2,000
Mkuu acha kumuwekea mwenzio kitumbua chake mchanga. Kwanza ni mjanja anajua kula na vipofu, ndio maana hadi leo yuko pale.
 
Master Legendary

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
424
500
Acha Ufala,Mnyika kazi anayofanya ni kisayansi mno.Ameweza kuorganise Chama chote kimekuwa na Agenda Moja ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi pamoja na kumpigania Mwenyekiti wao.

Sasa hivi Kamati, Mabaraza na Makundi yote ya Chadema yanaongea Lugha moja Agenda moja na amejitahidi kuyapa Platform kila kundi sasa hivi kelele zinasikika vizuri na Chama kimeweka Historia nzuri ya kupigania Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi.

Huwezi kufananisha Perfomance ya Mnyika na Dk Slaa wakati Mazingira ya Kisiasa ni tofauti kabisa,Uhuru wa kufanya Siasa aliokuwa nao Dk Slaa kipindi cha Mnyika haupo,na huyu Dogo akitulia akafanikiwa kuivusha Chadema salama kwenye haya Mawimbi huenda akawa Katibu Mkuu bora kabisa katika Historia.
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
15,962
2,000
Umehama Lumumba komredi?
Tuachie chama chetu, hauna mkakati wowote kuhakikisha tunasimama kama enzi za Dk Slaa.

Mbaya zaidi chama kama chama kinafanyiwa maonevu makubwa lakini hauchukui hatua hata kushitaki UN na tume za haki ya binadamu.

Chama kinazolota lakini huchukui hatua kabisa. Unalipwa posho kubwa bure tu ndio maana unakuwa na mambo yako tu.
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
16,451

Ninakazia:

CCM jitengeni na kundi la Wasiojulikana

Au nasema uongo dudumizi?
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
33,380
2,000
Tuachie chama chetu, hauna mkakati wowote kuhakikisha tunasimama kama enzi za Dk Slaa.

Mbaya zaidi chama kama chama kinafanyiwa maonevu makubwa lakini hauchukui hatua hata kushitaki UN na tume za haki ya binadamu.

Chama kinazolota lakini huchukui hatua kabisa. Unalipwa posho kubwa bure tu ndio maana unakuwa na mambo yako tu.
Mambo ya Chadema yanakuhusu nini wewe msukule wa CCM?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom