Ni wazi chama cha NCCR-Mageuzi kinajipanga kufanya kazi kubwa katika siasa za Tanzania baada ya miaka 30 ya Mageuzi ya kisiasa Tanzania. NCCR-Mageuzi ni mwasisi wa siasa za vyama vingi na...
Waziri mhe. Simbachawene nimekusikia ukielezea hatua mbalimbali zitakazo chukuliwa dhidi ya watu wanaowakejeli, watukana na kuwakashifu Rais na viongozi pamoja na hata waliofariki!
Mimi...
Nawasalimu kwa jina JMT
Moja kwa moja najikita kwenye mada.
Nimepata ndogo ndogo kwamba kuna baadhi ya taasisi za umma zinaomba/zinataka warejeshewe mamlaka ya mchakato wa ajira kama zamani...
Mchakato wa katiba bado unaendele na huu ni ujumbe wangu kwa leo.
1.CCM na UKAWA,mbona mwazidi vutana ?.
Bado mambo hayajawa,mnaanza kamatana.
Mtaweza kutugawa,na nchi mtaichana.
Tusitumie...
Ndugu zangu habari za asubuhi!
Kama kawaida siku ya jana rafiki na ndugu yetu Alloyce Nyanda alijitokeza kwenye kipindi chake tajwa hapo juu na aliwaalika vijana wawili ndg John Pambalu...
Katika ufuatiliaji mdogo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, nimeona mapungufu makubwa ambayo niliwahi kuelezea humu ndani. Wengine walisema sijui kitu na kwamba ile ilikuwa...
√Soma hapo chini alichokisema
Kwamba
Rais Samia Suluhu kwa Sasa Hawazii Matatizo Ya Watanzania bali anawazia Uchaguzi Tu.
Kwamba
Ndani Ya Miezi 6 Wana Uhakika wa Kupata Tume Huru Ya...
Ni ushauri tu kwani spidi ya Jaffo kiutendaji ingesaidia sana huku wizara ya kilimo ambako tangu aondoke Wassira mambo ni kama yamesimama.
Hasunga kwa usaidizi wa akina Waitara hapana shaka...
Marco Maduhu
DODOMA
Habari
Nipashe
PAC yataja sababu Ripoti ya CAG kutochambuliwa kwa wakati bungeni
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Japhet Hasunga...
Mwenyekiti wa kudumu wa CHADEMA amemuonya Rais Samia kuwa asikubali kuliruhusu bunge lililopo sasa hivi lianze mchakato wa katiba mpya.
Mbowe amesema Rais akiruhusu hilo wao kama chama cha...
Mara baada ya kukamatwa kwenye kongamano la katiba jijini Mwanza, John Heche amelalamika na kuikumbuka awamu ya tano chini ya hayati Magufuli kuwa haikuwahi kuwatesa namna hii.
My take:
Kabla ya...
Nimetafakari kwa kina sana kuhusu kauli ya Kishetani ya Waziri wa Habari ndugu Mwakyembe kuhusiana na kupotea kwa Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi Azory Gwanda , nimefikia hitimisho la kuwaamsha...
Taarifa zinaonyesha kwamba huyu mtu alikuwa mfanyakazi binafsi wa Sabaya, baadaye wakatofautiana kutokana na malipo, Yaani Sabaya alimdhulumu Kaaya malipo ya miezi mingi na ndipo Kaaya akaamua...
Waziri wa Tamisemi Ummy Mwalimu ametangaza kuwa kuanzia sasa ni marufuku kwa mkuu wa mkoa ,wilaya au mkurugenzi yoyote kusafiri nje ya mkoa wake bila kibali cha rais, makamu wa rais au waziri...
Ndugu Yusuf Mehboub Manji, Bwana Makonda alikuchafua sana na harakati zako za kumpeleka kwenye vyombo vya sheria ziligonga mwamba kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wako. Ila sasa upepo unaruhusu...
Je nini hatma ya wote hawa waliodaiwa kugawiwa hela za Escrow na James Rugemalira wa IPTL?
Je hao watu walioitwa majizi na Mh. Tundu Lissu bungeni ndio tuhuma zilizowakabili zimefutwa na sasa...
Ndugu zangu,
Nilishawahi kusema "Tundu Lissu wa kabla ya 2015 akikutana na Tundu Lissu wa baada ya 2015 watauana.Tundu Lissu wa kale alishangaa kwanini Serikali haiwafungi akina Seth na...
Eti leo Kamati ya Bunge ya Kusimamia Mashirika ya Umma(PAC), imekuja na taarifa kuwa TANROADS wametumia zaidi ya shilingi bilion 600 bila ya idhini ya Bunge na kwamba taarifa ya TANROADS inatia...
Mnyika alishaingia Kingi,
Alishatengenezewa zengwe na Mkuu wa Green Guard, Field Marshal Jemedari. Zengwe lenyewe ni kuwa Mnyika alitumia Meseji Jemedari kuwa atamuua.
Field Marshal akaleta...
Mahakama ya hakimu Mkazi Arusha imetoa onyo Kali Kwa gazeti la kila siku mwananchi baada ya kuandika taarifa iliyoleta ukakasi katika mwendo wa kesi inayoendelea ya Uhujumu uchumi inayomkabili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.