mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 2,329
- 4,852
Kuna usemi unasema mtegemea cha ndugu hufa maskini!!!!
Sasa kwanini tuzidi kuwa omba omba hivi hawa china au nchi zinazoendelea walianza vipi kwanini tuendekeze misaada
Kwanini tusiazie hapa tulipo ni aibu kwa taifa ni aibu sana ona suala la mbolea linavyowa asili wakulima
Sasa hivi je tungekuwa na viwanda vyetu vya maana hivi tusingewauzia hao wa nje
Nauliza tu ni lini kama taifa tutaacha kutegemea misaada hivi hamjui kama ina mwisho ni lini tutaacha kuwa omba omba ?