Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mahakama kanda ya Arusha jumatano oktoba 27, 2021 imekubali kupokea kielelezo namba 4 kama ushahidi toka kwa Afisa tehema wa CRDB tawi la kwa Mrombo bwana Geoffrey Abimiel Nko ambaye ni shahidi...
20 Reactions
62 Replies
7K Views
Katika vitengo vinavyoongoza kwa Rushwa katika ofisi nyingi za TANESCO ni katika mtiririko hapa chini kulingana na ukubwa wa TATIZO, na pia utaweza kufahamu mikoa ya KITANESCO inayoongoza kwa...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Leo wamepitisha matangazo jijini Mwanza kwamba kwanzia jumatatu hawataki kuona machinga yoyote mjini, lakini hatujui wanataka watuone wapi, wanaotangaza haya wao ni watumishi wa serikali...
53 Reactions
228 Replies
18K Views
RC MAKALLA ALITANGAZA ENEO VOLCANO YA TOPE KUNDUCHI NI HATARISHI - Asema eneo hilo halifai kwa makazi. - Awataka Wananchi wa eneo husika kuchukuwa tahadhari. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wadau JF! Ninalazimika kuyaandika haya ingawa ninaelewa chadema kwa ujumla huwa hawapendi kuambiwa UKWELI. Nitasema kwa ufupi sana ili nisiwachoshe wasomaji. La kwanza ni kuhusu kesi iliyoko...
4 Reactions
45 Replies
2K Views
Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concar amesema kuanzia Novemba 01, 2021 Uingereza itatambua Vyeti vya Chanjo dhidi ya COVID-19 vilivyotolewa na Serikali ya Tanzania Hatua hiyo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Makalla amesema Wamachinga wengi wameanza kuhamia kwenye maeneo mapya waliyopangiwa na serikali. Makala amesema hakuna mmachinga atakayeachwa afanye biashara...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tanzania (TC, Dar es Salaam) will have to repay TZS896 billion shillings (USD388.8 million) illegally received from government coffers without prior approval from the country’s Ministry of Finance...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete aishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan. Kazi Nzuri inayofanywa na Serikali yetu ya Awamu ya...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Nimejaribu kuichunguza Nchi yetu inavyoongozwa na mikakati tuliyonayo najiridhisha kuwa ni vigumu sana kupata maendeleo ya maana hata kwa miongo mitatu ijayo yaani comes 2050! Sababu zangu ni...
17 Reactions
45 Replies
3K Views
Baada ya kutusoma akili zetu wazungu waliamua kutafuta njia nzuri za kututawala bila sisi wenyewe kujua huku wakiendelea kutuvuna kadiri wanavyoweza, kadiri ya fursa iliyopo katika eneo husika...
1 Reactions
3 Replies
654 Views
Ni ujinga kunilazimisha eti Samia ni Rais wa kupigiwa kura! Samia alikuwa msaidizi wa Hayati Magufuli ambaye ndiye aliyepigiwa kura za Watanzania kuwa Rais. Lakini baada ya kifo cha Magufuli...
10 Reactions
77 Replies
5K Views
Sitaki kuongezea neno…..,
26 Reactions
36 Replies
5K Views
Wadau nimekuwa najiuliza sana juu ya hili Suala, Kwanini Mtanzania Bara mwenye Uraia wa Huku Bara hawezi kugombea URAIS wa ZANZIBAR bali Mzanzibar Raia wa Zanzibar anaweza kugombea URAIS wa...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Siasa inabadilika kila wakati kulingana na maitaji ya wakati husika, lakini moja ya vitu vinavyotisha na kusononesha ni vitendo vya wafuasi wa CHADEMA kuishambulia NCCR-Mageuzi! Mbatia amekuwa...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Ni ukweli usio pingika kuwa kwa miaka mitano ya utawala wa awamu ya tano nchi ilikuwa na miradi mikubwa ambayo kwa macho ya kawaida ilionyesha kuwa na faida kwa Taifa. Lakini pia ni Jambo...
7 Reactions
48 Replies
3K Views
Kikawaida Tz inategemea maono ya mtu au chama na maono haya ndiyo yanatumika kama dira ya taifa. Tulianza na kilimo kwanza na sera hii ikafa baada ya JK kuondoka madarakani. Tukaja na viwanda na...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Msomi nguli wa Tanzania Prof Issa Shivji amelichambua dai la katiba mpya na kusema halina tija wala si mwarobaini wa matatizo yanayowakumba watanzania kwa sasa. Prof Shivji amesema wanasiasa...
8 Reactions
149 Replies
11K Views
Kwa upendo heshima na taadhima nimeona nichukue nafasi hii kukueleza kinagaubaga kuwa wilaya ya Kilosa ni ngumu kiutawala kuliko wilaya zote Tanzania. Wilaya imejaa wapumbavu na pesa za...
8 Reactions
65 Replies
7K Views
Back
Top Bottom