Ridhiwani Kikwete: Chalinze tumepata maendeleo makubwa ndani ya muda mfupi wa uongozi wa Rais Samia

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,886
938
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete aishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Kazi Nzuri inayofanywa na Serikali yetu ya Awamu ya Sita Chini ya Uongozi wa Mhe. Samia Suluhu Hassan ndani ya Kipindi hiki cha Miezi Sita katika Sekunde 25 za Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete aliposhiriki kwenye mapokezi ya Rais Samia akielekea Bagamoyo Kurekodi kipindi Cha Royal Tour.

#KaziIendelee #AsanteRaisWetu #KaziUnaipigaKweli #Chalinze tunakushukuru
 
Vipi serikali ya awamu ya nne? Sijawahi kumsikia ukiishukuru
Huwezi kushukuru ukiwa ndani ya sinia la ubwabwa.......ni mwendo wa kusokomeza matonge kwa kwenda mbele, maana huwezi kuongea chakula kikiwa kimejaa mdomoni.
 
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete aishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Kazi Nzuri inayofanywa na Serikali yetu ya Awamu ya Sita Chini ya Uongozi wa Mhe. Samia Suluhu Hassan ndani ya Kipindi hiki cha Miezi Sita katika Sekunde 25 za Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete aliposhiriki kwenye mapokezi ya Rais Samia akielekea Bagamoyo Kurekodi kipindi Cha Royal Tour.

View attachment 1923250

#KaziIendelee #AsanteRaisWetu #KaziUnaipigaKweli #Chalinze tunakushukuru
Eti Ridhiwani Kikwete nae ni Mbunge. Kuna muda huwa nawatafakari Watanzania na vilivyomo Ubongoni mwao na huwa sipati Majibu ya Kuniridhisha.
 
Kazi ya ukoo lazima ipate mpokea kijiti hata kwenye vilinge ni hivyo hivyo. Mh Rais SSH ampe na Uwaziri tu kuweka historia sawa.
 
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete aishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Kazi Nzuri inayofanywa na Serikali yetu ya Awamu ya Sita Chini ya Uongozi wa Mhe. Samia Suluhu Hassan ndani ya Kipindi hiki cha Miezi Sita katika Sekunde 25 za Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete aliposhiriki kwenye mapokezi ya Rais Samia akielekea Bagamoyo Kurekodi kipindi Cha Royal Tour.

View attachment 1923250

#KaziIendelee #AsanteRaisWetu #KaziUnaipigaKweli #Chalinze tunakushukuru
Haishindi ule upendeleo wa waziwazi wakati wa enzi za utawala wa baba yake.
 
Back
Top Bottom