Baba wa ubatizo wa Freeman Aikael Mbowe huyu hapa

Baba wa ubatizo wa Freeman Aikael Mbowe huyu hapa

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
17,430
Reaction score
29,561
Sitaki kuongezea neno…..,

1137952D-0035-47B4-9086-62179DFE07D2.jpeg
 
.... Mwl. Nyerere bonge la personality! Kuna mabango fulani barabarani huko chama wameprint picha yake na mwingine eti MASHUJAA WA AFRIKA. Mwl. hachanganywi na kenge yeyote nchi hii acheni wazimu wa mchana!
 
Nchi itapusuka siku walimfunga mwamba tutajilipua nao huku kwenye ikulu zao bora tukose wote

mliberali kumbe na wewe ni shabiki kindakindaki wa Mbowe mitandaoni tuu jamani!? Iko wapi ile ya kuitwa nguvu ya umma?

Zaidi ya miezi3 kaka Freeman yuko segerea mko nyuma ya keyboard tuu hamna anayeenda front.

Siasa za Tanzania ngumu sana
 
Leo ndo mnakumbuka ni baba yake wa ubatizo aiseee wakati Lissu anamsimanga na kumkashfu Nyerere mbona huyo mtoto wa ubatizo hakumkanya wala kusaidia kukanusha matope aliyopakwa baba yake wa ubatizo
Mtu mweusi ana shida sana. Sijui hata ulisoma wapi wewe? Kuchallenge ideas, machapisho na mitazamo ya watu siyo kosa mkuu. Watu wanachambua bible na msaafu itakuwa Nyerere?

Afu Lisu siyo Mbowe ulishasikia mbowe alisema Nyerere
 
Back
Top Bottom