nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,929
Kwa upendo heshima na taadhima nimeona nichukue nafasi hii kukueleza kinagaubaga kuwa wilaya ya Kilosa ni ngumu kiutawala kuliko wilaya zote Tanzania.
Wilaya imejaa wapumbavu na pesa za wapumbavu( upumbavu ni sifa siyo tusi)
Viongozi wanaokwenda Kilosa wanakutana na wapumbavu wakiwana pesa za wapumbavu, zinawapumbaza viongozi.
Wilaya inasitawisha mifugo na mimea hicho ndicho chanzo cha ugumu wa hiyo wilaya.
Watu unaotakiwa kuwa na tahadhari nao ni jamii ya wafugaji wa kimasai, wana pesa za kipumbavu, zitakupumbaza ghafla
Afisa tarafa ndugu Nchimbi wa tarafa ya Magole/Dumila huyu amenogewa na pesa za kipumbavu yupo tayari kumlaghai kiongozi yeyote wa wilaya ili nae apumbazike na pesa za kipumbavu
Ukitaka ushahidi wa maneno yangu waulize wafuatao
1. Ole Sanare aliyekuwa mkuu wa mkoa Morogoro
2. Adam Mgoi, aliyekuwa mkuu wa wilaya aliyekutangulia.
Hawa walipumbazwa na pesa na ardhi ya wakulima, kuwadi akiwa kijana Nchimbi.
Ulipofika tu Kilosa na kuanza kazi watu wa Kilosa waona umeanza vizuri, lakini unayofanya sasa watu hawakutofautishi na mtangulizi wako.
Kupanda mipaka ya vijiji vya Mbigiri, Kitete, Mfulu nk ni agizo la Serikali, lakini kunyang'anya mashamba ya watu kwa madai eti hawakai Mbigiri hapo unavunja katiba ya nchi maana inatamka kuwa mtu (Mtanzania) anaweza kwenda popote ndani ya Jamhuri ya Tanzania na kufanya shughuri zake bila kuvunja sheria.
MASWALI
Wewe umetamka mkutanoni kuwa wanaolima Mbigiri siyo wakaaji wa Mbigiri, sheria hiyo umeitoa wapi ya watu wa sehemu moja wasiende Fanya shughuri zao sehemu nyingine?
2. Je, hao wamasai wanaishi Kilosa na kufanya ufugaji ni wenyeji wa hapo?
3. Wafuatao wana mashamba wilaya za Mvomero na Kilosa.
1. JK Kikwete - wilaya ya Mvomero
2. Ally Mwinyi - Mvomero
3. Lowassa - Kilosa
4. Gharib Bilal - Mvomero nk
Hawa ni wakaaji wa wilaya hizi?
Unataka kupokonya mashamba ya watu ili uwagawie wanakijiji.
Umeshajiuliza hao wakulima na wanakijiji ni nani aliyetangulia kufika hapo?
Hao unaowaita wakaaji walikuwa wanalima wapi miaka yote?( hao mashamba yao wameyauza)
Umeshajiuliza hao unaotaka kuwapora hayo mashamba wamekuwa nayo kwa miaka mingapi?
Umeshajiuliza, ni nani waliosafisha hayo mashamba?
Wakati hao unaowaita siyo wakazi, wanasafisha hayo mashamba hayo wakazi walikuwa wapi kwa nini hawakuchukua hatua stahili?
JE, NA WEWE UMESHAPUMBAZWA NA WATU WAPUMBAVU NA PESA ZA KIPUMBAVU?
Kibaya zaidi kama alivyokuwa anafanya mgoi kutumia ubabe hata kwenye mikutano hataki kusikia maoni ya watu ndimo unamopita.
Kama umepumbazwa ninakwambia itakugharimu.
TAMBUA WEWE SIYO MTU WA MWISHO KWENYE MAAMUZI KTK NGAZI YA KIUTAWALA.
NAKUSHAURI PANDA MIPAKA YA VIJIJI LAKINI KWENYE MASHAMBA YA WATU USIGUSE.