CHADEMA mnazidi kupoteza dira kwa wananchi

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
5,552
11,883
Wadau JF!

Ninalazimika kuyaandika haya ingawa ninaelewa chadema kwa ujumla huwa hawapendi kuambiwa UKWELI.

Nitasema kwa ufupi sana ili nisiwachoshe wasomaji.

La kwanza ni kuhusu kesi iliyoko mahakamani ambapo mwenyekiti Mbowe na wenzake, wanashitakiwa na jamhuri kwa makosa ya ugaidi na uhujumu uchumi.

Imekuwa kawaida kisheria inapotokea mgongano wa mjadala au hoja katika majukwaa ya kiraia na kisiasa kujikuta yanaongelea jambo ambalo tayari liko kwenye mahakama zetu nchini. Na ikawa jambo hilo bado halijatolewa hukumu.basi mihimili mingine hulazimika kutolijadili mpaka pale litakapofikia tamati yake.

Lengo kuu likiwa ni kutovuruga mwenendo wa kesi mahakamani.

Lakini kwa #Chadema wao hali imekuwa tofauti, kwani sasa hivi kesi ya Mbowe ambayo inatajwa mfululizo huko mahakamani, imekuwa pia ndio agenda ya platform zote za chadema, kuanzia Bavicha, Bawacha, wazee wa chadena na uongozi wote wa kitaifa bila kuwasahau na wale wakimbizi walioko ughaibuni.

Kupitia mitandao ya kina Fatuma karume na Maria sarungi.

Sasa suala hili linaleta mkanganyiko kwa sababu linapelekea au linaweza kuvuruga mwenendo wa kesi inayoendelea mahakamani.

Sidhani kama chadema na uongozi wao hawalijui hili au ni kwa makusudi ili kuvuruga mwenendo wa kesi mahakamani?

Jambo lingine ni lugha zisizo na staha dhidi ya uongozi wa kitaifa na pia viongozi mbalimbali wakiwemo majaji, zinazotolewa na viongozi na makada mbalimbali wa chadema wakiongozwa na makamu mwenyekiti Tundu lissu na kada mkorofi Godbless lema.

Jambo hili linawaondolea staha mbele ya wananchi na kupelekea kutowaamini na hivyo kushindwa kuwashawishi kujiunga nanyi katika harakati zenu kwa kuwapuuza na kuwaona wahuni.

Ukiachana na madai yenu ya katiba mpya,tume huru ya uchaguzi na kutaka Mbowe kuachiwa huru kwa matakwa yenu.

Watanzania wanazo kero nyingi ambazo wangependa kusikia zikiongelewa badala ya hizo nilizozitaja hapo juu,ambazo kwa ujumla zina akisi matakwa yenu binafsi ya kusaka madaraka.

Lakini nissishie hapo bila kusema la mwisho.

Matamko yenu yanakinaisha jamii,na kila uchao mnatoa matamko ya kibinafsi, badala ya matamko yenye kubeba madhila halisi yanayowakumba wananchi kule site.

Mfano juzi mmekuja sijui na bunge la wananchi mkimuiga Raila odinga wa Kenya.

Lakini pia watanzania tuna majukumu mengine mengi ya kuendesha familia zetu ambayo sio ya kisiasa.

Hivyo ninapomsikia Lema akishawishi wananchi kuingia mabarabarani kumtetea Mbowe. Ninapata ukakasi.

Mbowe kama mbowe hawezi sababisha watanzania zaidi ya miliomi 46 wasio wanachama wa chadema kuvurugiwa amani na kuachishwa shughuli zao za kukidhi mahitaji ya familia zao kisa Uhuru wa mbowe ambaye hawana uhakika na usafi wake binafsi.

Lema aliekimbia bila kukimbizwa yeye ameweka familia yake nje halafu unachochea walio ndani ya nchi na familia zao, waharibu future zao?

Msitake kitushirikisha kuwasaidia kuusikiliza uchungu wa kukaa benchi next 4years tutawakemea daima.
 
Wewe ni zero kweli kichwani, yaani mada yako ya ki UVCCM unataka kuaminisha watu wote ujinga ulionao, kuna mtu anaweza kukimbia nchi yake bila sababu?

Umeandika mada ndefu ya kipumbavu kabisa.

Kwa hiyo ulitaka Chadema ifanye sherehe Mbowe kuitwa gaidi?

Kifo cha Magufuli bado hakijawapa fundisho tu?
 
Wadau JF!
Ninalazimika kuyaandika haya ingawa ninaelewa chadema kwa ujumla huwa hawapendi kuambiwa UKWELI.

Nitasema kwa ufupi sana ili nisiwachoshe wasomaji.

La kwanza ni kuhusu kesi iliyoko mahakamani ambapo mwenyekiti Mbowe na wenzake, wanashitakiwa na jamhuri kwa makosa ya ugaidi na uhujumu uchumi.

Imekuwa kawaida kisheria inapotokea mgongano wa mjadala au hoja katika majukwaa ya kiraia na kisiasa kujikuta yanaongelea jambo ambalo tayari liko kwenye mahakama zetu nchini. Na ikawa jambo hilo bado halijatolewa hukumu.basi mihimili mingine hulazimika kutolijadili mpaka pale litakapofikia tamati yake.

Lengo kuu likiwa ni kutovuruga mwenendo wa kesi mahakamani.

Lakini kwa #chadema wao hali imekuwa tofauti, kwani
Sasa hivi kesi ya mbowe ambayo inatajwa mfululizo huko mahakamani, imekuwa pia ndio agenda ya platform zote za chadema, kuanzia Bavicha,Bawacha,wazee wa chadena na uongozi wote wa kitaifa bila kuwasahau na wale wakimbizi walioko ughaibuni.
Kupitia mitandao ya kina Fatuma karume na Maria sarungi.

Sasa suala hili linaleta mkanganyiko kwa sababu linapelekea au linaweza kuvuruga mwenendo wa kesi inayoendelea mahakamani.

Sidhani kama chadema na uongozi wao hawalijui hili au ni kwa makusudi ili kuvuruga mwenendo wa kesi mahakamani?

Jambo lingine ni lugha zisizo na staha dhidi ya uongozi wa kitaifa na pia viongozi mbalimbali wakiwemo majaji, zinazotolewa na viongozi na makada mbalimbali wa chadema wakiongozwa na makamu mwenyekiti Tundu lissu na kada mkorofi Godbless lema.

Jambo hili linawaondolea staha mbele ya wananchi na kupelekea kutowaamini na hivyo kushindwa kuwashawishi kujiunga nanyi katika harakati zenu kwa kuwapuuza na kuwaona wahuni.

Ukiachana na madai yenu ya katiba mpya,tume huru ya uchaguzi na kutaka Mbowe kuachiwa huru kwa matakwa yenu.

Watanzania wanazo kero nyingi ambazo wangependa kusikia zikiongelewa badala ya hizo nilizozitaja hapo juu,ambazo kwa ujumla zina akisi matakwa yenu binafsi ya kusaka madaraka.

Lakini nissishie hapo bila kusema la mwisho.

Matamko yenu yanakinaisha jamii,na kila uchao mnatoa matamko ya kibinafsi, badala ya matamko yenye kubeba madhila halisi yanayowakumba wananchi kule site.
Mfano juzi mmekuja sijui na bunge la wananchi mkimuiga Raila odinga wa Kenya.

Lakini pia watanzania tuna majukumu mengine mengi ya kuendesha familia zetu ambayo sio ya kisiasa.

Hivyo ninapomsikia Lema akishawishi wananchi kuingia mabarabarani kumtetea Mbowe. Ninapata ukakasi.

Mbowe kama mbowe hawezi sababisha watanzania zaidi ya miliomi 46 wasio wanachama wa chadema kuvurugiwa amani na kuachishwa shughuli zao za kukidhi mahitaji ya familia zao kisa Uhuru wa mbowe ambaye hawana uhakika na usafi wake binafsi.

Lema aliekimbia bila kukimbizwa yeye ameweka familia yake nje halafu unachochea walio ndani ya nchi na familia zao, waharibu future zao?

Msitake kitushirikisha kuwasaidia kuusikiliza uchungu wa kukaa benchi next 4years....tutawakemea daima..
Ukweli gani umeandika? Umesoma uharo wako huu kabla yakupost?

Wananchi gani hao unawasemea?
Kwaufupi umejaa chuki, roho ya korosho na husda,
Mwisho , jitafakari Sana maana inaonekana kichwa kimekuwa kabati ya meno
 
Mbona unaweweseka. Mbowe kubambikwa kesi ni hofu kuu ya mafisiem. Wakati mwingine,watu wenye akili zao wakizungumza, mahayawani mkaege kimya. Mnakera mpaka basi, hamjuagi tu. Mtu mzima kuja kutoa uharo hadharani ni inasikitisha. Mkikaaga kimya inasaidia kwani hatutajua kuwa hamnazo.
 
Nimecheka hapo iliposemwa kuwa atawaambia watu, 'waingie barabarani'.

Ninaapa, kwa chadema hii ya sasa, hata kama watapewa magazeti yote, online tvs na tvs zote warushe live tangazo hilo la lema la kuitisha maandamano ya kuachiwa mbowe, hawatotokea hata watu 1000 barabarani........tena lirushwe wiki nzima hilo tangazo.

Kwahiyo kiongozi km umeleta mada hii kwa hofu hiyo ya watu kuingia barabarani kumuandamania mbowe, pumzika tu. Hakuna kamwe kitu km hicho.

Niwaibie siri tu, huku mtaani wstu wanahisia kuwa huyo 'chea mkubwa na wa milele' anapiga dili tu hapo.....waNasema hv kwa kurefer yaliyopita!
 
Wadau JF!
Ninalazimika kuyaandika haya ingawa ninaelewa chadema kwa ujumla huwa hawapendi kuambiwa UKWELI.

Nitasema kwa ufupi sana ili nisiwachoshe wasomaji.

La kwanza ni kuhusu kesi iliyoko mahakamani ambapo mwenyekiti Mbowe na wenzake, wanashitakiwa na jamhuri kwa makosa ya ugaidi na uhujumu uchumi.

Imekuwa kawaida kisheria inapotokea mgongano wa mjadala au hoja katika majukwaa ya kiraia na kisiasa kujikuta yanaongelea jambo ambalo tayari liko kwenye mahakama zetu nchini. Na ikawa jambo hilo bado halijatolewa hukumu.basi mihimili mingine hulazimika kutolijadili mpaka pale litakapofikia tamati yake.

Lengo kuu likiwa ni kutovuruga mwenendo wa kesi mahakamani.

Lakini kwa #chadema wao hali imekuwa tofauti, kwani
Sasa hivi kesi ya mbowe ambayo inatajwa mfululizo huko mahakamani, imekuwa pia ndio agenda ya platform zote za chadema, kuanzia Bavicha,Bawacha,wazee wa chadena na uongozi wote wa kitaifa bila kuwasahau na wale wakimbizi walioko ughaibuni.
Kupitia mitandao ya kina Fatuma karume na Maria sarungi.

Sasa suala hili linaleta mkanganyiko kwa sababu linapelekea au linaweza kuvuruga mwenendo wa kesi inayoendelea mahakamani.

Sidhani kama chadema na uongozi wao hawalijui hili au ni kwa makusudi ili kuvuruga mwenendo wa kesi mahakamani?

Jambo lingine ni lugha zisizo na staha dhidi ya uongozi wa kitaifa na pia viongozi mbalimbali wakiwemo majaji, zinazotolewa na viongozi na makada mbalimbali wa chadema wakiongozwa na makamu mwenyekiti Tundu lissu na kada mkorofi Godbless lema.

Jambo hili linawaondolea staha mbele ya wananchi na kupelekea kutowaamini na hivyo kushindwa kuwashawishi kujiunga nanyi katika harakati zenu kwa kuwapuuza na kuwaona wahuni.

Ukiachana na madai yenu ya katiba mpya,tume huru ya uchaguzi na kutaka Mbowe kuachiwa huru kwa matakwa yenu.

Watanzania wanazo kero nyingi ambazo wangependa kusikia zikiongelewa badala ya hizo nilizozitaja hapo juu,ambazo kwa ujumla zina akisi matakwa yenu binafsi ya kusaka madaraka.

Lakini nissishie hapo bila kusema la mwisho.

Matamko yenu yanakinaisha jamii,na kila uchao mnatoa matamko ya kibinafsi, badala ya matamko yenye kubeba madhila halisi yanayowakumba wananchi kule site.
Mfano juzi mmekuja sijui na bunge la wananchi mkimuiga Raila odinga wa Kenya.

Lakini pia watanzania tuna majukumu mengine mengi ya kuendesha familia zetu ambayo sio ya kisiasa.

Hivyo ninapomsikia Lema akishawishi wananchi kuingia mabarabarani kumtetea Mbowe. Ninapata ukakasi.

Mbowe kama mbowe hawezi sababisha watanzania zaidi ya miliomi 46 wasio wanachama wa chadema kuvurugiwa amani na kuachishwa shughuli zao za kukidhi mahitaji ya familia zao kisa Uhuru wa mbowe ambaye hawana uhakika na usafi wake binafsi.

Lema aliekimbia bila kukimbizwa yeye ameweka familia yake nje halafu unachochea walio ndani ya nchi na familia zao, waharibu future zao?

Msitake kitushirikisha kuwasaidia kuusikiliza uchungu wa kukaa benchi next 4years....tutawakemea daima..
Maccm akili ndogo sana
 
Chadema ni genge la wachumia tumbo ambalo lilikuwa limejificha kwenye kichaka cha siasa kwa hoja yao ya ufisadi. Baada ya kujificha kwenye kichaka hicho kwa muda wa miaka 7 (from 2008 to 2015) kupitia mgongo wa kumchafua Lowasa. Mwaka 2015 wakajikuta wanajitoa kichakani wenyewe kwa kumpokea, kumsafisha Lowasa na kuuwa hoja yao hiyo ya ufisadi ambayo ndio ilikuwa nguzo yao kuu. Baada ya hapo kila mtu akaanza kuuona uhalisia wa chama chao. Na ndo hapo kilipoanza kupoteza uelekeo wa chama, huku watu wenye akili wakikihama chama hicho na kukiacha kimebaki na wanywa gongo, wavuta bangi, wenye msongo wa mawazo nk ambao wengi wao wamejazana humu mitandaoni maana hawana shughuli za kufanya.
 
Dogo hii nchi ni masikini Sana na watu wake 80% ni masikini Sana,
Kuinanga Cdm hakuisadii nchi,

Kwenye dodoma wanakunywa maji ya tope
 
Chadema ni genge la wachumia tumbo ambalo lilikuwa limejificha kwenye kichaka cha siasa kwa hoja yao ya ufisadi. Baada ya kujificha kwenye kichaka hicho kwa muda wa miaka 7 (from 2008 to 2015) kupitia mgongo wa kumchafua Lowasa. Mwaka 2015 wakajikuta wanajitoa kichakani wenyewe kwa kumpokea, kumsafisha Lowasa na kuuwa hoja yao hiyo ya ufisadi ambayo ndio ilikuwa nguzo yao kuu. Baada ya hapo kila mtu akaanza kuuona uhalisia wa chama chao. Na ndo hapo kilipoanza kupoteza uelekeo wa chama, huku watu wenye akili wakikihama chama hicho na kukiacha kimebaki na wanywa gongo, wavuta bangi, wenye msongo wa mawazo nk ambao wengi wao wamejazana humu mitandaoni maana hawana shughuli za kufanya.
Ccm ni genge la nini??
 
Wadau JF!
Ninalazimika kuyaandika haya ingawa ninaelewa chadema kwa ujumla huwa hawapendi kuambiwa UKWELI.

Nitasema kwa ufupi sana ili nisiwachoshe wasomaji.

La kwanza ni kuhusu kesi iliyoko mahakamani ambapo mwenyekiti Mbowe na wenzake, wanashitakiwa na jamhuri kwa makosa ya ugaidi na uhujumu uchumi.

Imekuwa kawaida kisheria inapotokea mgongano wa mjadala au hoja katika majukwaa ya kiraia na kisiasa kujikuta yanaongelea jambo ambalo tayari liko kwenye mahakama zetu nchini. Na ikawa jambo hilo bado halijatolewa hukumu.basi mihimili mingine hulazimika kutolijadili mpaka pale litakapofikia tamati yake.

Lengo kuu likiwa ni kutovuruga mwenendo wa kesi mahakamani.

Lakini kwa #chadema wao hali imekuwa tofauti, kwani
Sasa hivi kesi ya mbowe ambayo inatajwa mfululizo huko mahakamani, imekuwa pia ndio agenda ya platform zote za chadema, kuanzia Bavicha,Bawacha,wazee wa chadena na uongozi wote wa kitaifa bila kuwasahau na wale wakimbizi walioko ughaibuni.
Kupitia mitandao ya kina Fatuma karume na Maria sarungi.

Sasa suala hili linaleta mkanganyiko kwa sababu linapelekea au linaweza kuvuruga mwenendo wa kesi inayoendelea mahakamani.

Sidhani kama chadema na uongozi wao hawalijui hili au ni kwa makusudi ili kuvuruga mwenendo wa kesi mahakamani?

Jambo lingine ni lugha zisizo na staha dhidi ya uongozi wa kitaifa na pia viongozi mbalimbali wakiwemo majaji, zinazotolewa na viongozi na makada mbalimbali wa chadema wakiongozwa na makamu mwenyekiti Tundu lissu na kada mkorofi Godbless lema.

Jambo hili linawaondolea staha mbele ya wananchi na kupelekea kutowaamini na hivyo kushindwa kuwashawishi kujiunga nanyi katika harakati zenu kwa kuwapuuza na kuwaona wahuni.

Ukiachana na madai yenu ya katiba mpya,tume huru ya uchaguzi na kutaka Mbowe kuachiwa huru kwa matakwa yenu.

Watanzania wanazo kero nyingi ambazo wangependa kusikia zikiongelewa badala ya hizo nilizozitaja hapo juu,ambazo kwa ujumla zina akisi matakwa yenu binafsi ya kusaka madaraka.

Lakini nissishie hapo bila kusema la mwisho.

Matamko yenu yanakinaisha jamii,na kila uchao mnatoa matamko ya kibinafsi, badala ya matamko yenye kubeba madhila halisi yanayowakumba wananchi kule site.
Mfano juzi mmekuja sijui na bunge la wananchi mkimuiga Raila odinga wa Kenya.

Lakini pia watanzania tuna majukumu mengine mengi ya kuendesha familia zetu ambayo sio ya kisiasa.

Hivyo ninapomsikia Lema akishawishi wananchi kuingia mabarabarani kumtetea Mbowe. Ninapata ukakasi.

Mbowe kama mbowe hawezi sababisha watanzania zaidi ya miliomi 46 wasio wanachama wa chadema kuvurugiwa amani na kuachishwa shughuli zao za kukidhi mahitaji ya familia zao kisa Uhuru wa mbowe ambaye hawana uhakika na usafi wake binafsi.

Lema aliekimbia bila kukimbizwa yeye ameweka familia yake nje halafu unachochea walio ndani ya nchi na familia zao, waharibu future zao?

Msitake kitushirikisha kuwasaidia kuusikiliza uchungu wa kukaa benchi next 4years....tutawakemea daima..
Kukosa vision kuna sababisha kutoka kwenye reli. Ingekua na vision ingekua mpaka sasa hivi wanapush agenda ya Katiba Mpya mara baada ya kutoka mahakamani ... Ile movement yao ya katiba mpya walikurupuka
 
Back
Top Bottom