RC Makalla: Volcano ya tope iliyopo Kunduchi Dar, ni eneo hatarishi, Wananchi chukua tahadhari

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,797
11,959
RC MAKALLA ALITANGAZA ENEO VOLCANO YA TOPE KUNDUCHI NI HATARISHI

- Asema eneo hilo halifai kwa makazi.

- Awataka Wananchi wa eneo husika kuchukuwa tahadhari.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amelitangaza eneo la Kunduchi lenye Volcano ya Tope kuwa eneo la hatari na halifai kwa makazi na kuwataka Wananchi wa familia Tisa ambazo makazi yao yameathiriwa kuanza kuchukuwa tahadhari.

RC Makalla amesema hayo alipotembelea na kukagua eneo hilo kujionea athari za Volcano hiyo na kulielekeza Jeshi la Polisi kuweka uangalizi Katika eneo hilo.

Aidha RC Makalla amesema taarifa ya kitaalamu iliyowasilishwa ofisini kwake inaeleza kuwa eneo hilo halifai kwa makazi ndio maana amefika kuwataka kuchukuwa tahadhari wakati Serikali inaangalia hatua za kuchukuwa.

Pamoja na hayo RC Makalla ameelekeza eneo hilo kuwekewa alama za tahadhari ili kuwaepusha wananchi na maafa.

IMG-20211013-WA0007.jpg
IMG-20211013-WA0006.jpg
IMG-20211013-WA0005.jpg
 
View attachment 1972737View attachment 1972738View attachment 1972739View attachment 1972740
Kwanini umeibadilisha avatar picha tuliyokuzoea
 
Yaani anasema kama vile eneo lile alionekana nyoka na sasa amejificha ili wapitapo wawe wananyata! Inaonekana wale wataalamu wa kupima kwa mguu hawajatoa jibu la kitaalamu, jambo hilo liko juu ya uwezo wao lakini wanashindwa kusema. Eneo husika nyumba zilizama sasa hawa wawe wanalala adirishani au juu ya paa? Wakilala ndani ya nyumba hawatajua kama zinazama. Hivi wanaona aghari kuwahamisha na kuwajengea nyumba za vyumba viwili na sebule! Yeye kutembelea hapo kesha tumia kiasi gani! Na alichokisema huko angeweza kutumia Tv na magazeti kwani hajawasaidia kwa chochote.
 
RC MAKALLA ALITANGAZA ENEO VOLCANO YA TOPE KUNDUCHI NI HATARISHI

- Asema eneo hilo halifai kwa makazi.

- Awataka Wananchi wa eneo husika kuchukuwa tahadhari.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amelitangaza eneo la Kunduchi lenye Volcano ya Tope kuwa eneo la hatari na halifai kwa makazi na kuwataka Wananchi wa familia Tisa ambazo makazi yao yameathiriwa kuanza kuchukuwa tahadhari.

RC Makalla amesema hayo alipotembelea na kukagua eneo hilo kujionea athari za Volcano hiyo na kulielekeza Jeshi la Polisi kuweka uangalizi Katika eneo hilo.

Aidha RC Makalla amesema taarifa ya kitaalamu iliyowasilishwa ofisini kwake inaeleza kuwa eneo hilo halifai kwa makazi ndio maana amefika kuwataka kuchukuwa tahadhari wakati Serikali inaangalia hatua za kuchukuwa.

Pamoja na hayo RC Makalla ameelekeza eneo hilo kuwekewa alama za tahadhari ili kuwaepusha wananchi na maafa.

View attachment 1972737View attachment 1972738View attachment 1972739View attachment 1972740
Katika vitu vinavyosumbua akili ni hizi tabia za wanasiasa kujifanya wanajua kila kitu.

Hapo Makala alipaswa ampe nafasi mtaalam wa mazingira na volcano afafanue nini kimejiri na athari zake zipoje.

Siasa za kiafrika ni taabu
 
Back
Top Bottom