NCCR-Mageuzi naona ni bora kuachana CHADEMA tu

Dr Shekilango

Senior Member
Dec 30, 2013
192
117
Siasa inabadilika kila wakati kulingana na maitaji ya wakati husika, lakini moja ya vitu vinavyotisha na kusononesha ni vitendo vya wafuasi wa CHADEMA kuishambulia NCCR-Mageuzi!

Mbatia amekuwa bega kwa bega na CHADEMA hasa katika mapito ya chama hicho, kesi Mbowe NCCR-Mageuzi imeweka mawakili lakini bado Mbatia amesema sana kuhusu Mbowe. Leo wafuasi wa CHADEMA bado watoa mbovu sana tu kwa Mbatia!

Ni bora NCCR-Mageuzi kuachana nao kabisa kwa sababu hata Mbowe mwenyewe amekaliliwa sana akimkosea Mbatia adabu ila Mbatia hajawahi kutaka kulipiza dhidi ya Mbowe. CHADEMA inafikiri wao tu wenyewe watashinda, basi washinde tu naona 2020 walishinda pia.
 
Na chadema wenyewe ndio hawa

CHADEMA 2004 - 2015

Screenshot_20211016-092642.jpg

images (9).jpeg
 
Siasa ina badilika kila wakati kulingana na maitaji ya wakati husika, lakini moja ya vitu vinavyotisha na kusononesha ni vitendo vya wafuasi wa CHADEMA kuishambulia NCCR-Mageuzi! Mbatia amekuwa bega kwa bega na CHADEMA hasa katika mapito ya chama hicho, kesi Mbowe NCCR-Mageuzi imeweka mawakili lakini bado Mbatia amesema sana kuhusu Mbowe. Leo wafuasi wa CHADEMA bado watoa mbovu sana tu kwa Mbatia!

Ni bora NCCR-Mageuzi kuachana nao kabisa kwa sababu hata Mbowe mwenyewe amekaliliwa sana akimkosea Mbatia adabu ila Mbatia hajawahi kutaka kulipiza dhidi ya Mbowe. CHADEMA inafikiri wao tu wenyewe watashinda, basi washinde tu naona 2020 walishinda pia.
Sasa unataka afanye maamuzi kutokana na maneno ya wanaojiita WAFUASI wa Chadema? Unajuaje hao wengine lengo lao ni kuichafua Chadema?

Amandla...
 
Siasa inabadilika kila wakati kulingana na maitaji ya wakati husika, lakini moja ya vitu vinavyotisha na kusononesha ni vitendo vya wafuasi wa CHADEMA kuishambulia NCCR-Mageuzi!

Mbatia amekuwa bega kwa bega na CHADEMA hasa katika mapito ya chama hicho, kesi Mbowe NCCR-Mageuzi imeweka mawakili lakini bado Mbatia amesema sana kuhusu Mbowe. Leo wafuasi wa CHADEMA bado watoa mbovu sana tu kwa Mbatia!

Ni bora NCCR-Mageuzi kuachana nao kabisa kwa sababu hata Mbowe mwenyewe amekaliliwa sana akimkosea Mbatia adabu ila Mbatia hajawahi kutaka kulipiza dhidi ya Mbowe. CHADEMA inafikiri wao tu wenyewe watashinda, basi washinde tu naona 2020 walishinda pia.
Magufuli alimuahidi Mbatia atakuwa KUB , iliishia wapi ? huwezi kushirikiana na shetani halafu tukakuacha
 
Back
Top Bottom