Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Safari ya kudai haki haijawahi kuwa rahisi: Wenye ajira kudhani wasio na ajira ni wapuuzi hiyo si sahihi. Kwanini rais ang'ake kusikia tishio kwenye kuendelea na urais baada ya 2025? Kwanini...
16 Reactions
74 Replies
6K Views
Nikiwa Mtanzania mwenye mwingiliano mkubwa na watu wa visiwa vya Zanzibar, sina budi kusimama kidete kwa masilahi mapana ya Nchi hii bila kupepesa Macho. Nitazungumza kuhusu suala la umiliki wa...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwanza niipongeze serikali kwa investment kubwa ya Afya kupitia hizi pesa za IMF, japo pia tungeweza ongeza zaidi kwa sababu sehemu kubwa ililenga kwenye afya. Pamoja na hayo yote huu mgao...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kikatiba endapo Rais aliyepo madarakani hapa Tanzania akifa makamu wake ndiye anatakiwa awe mkuu wa Nchi bila uchaguzi wowote kufanyika. Jambo ambalo ni hatari mno na ni risk kwa mkuu wa Nchi...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Ndugu wana jamvi nadhani kila mmoja wetu anafahamu juu ya Kesi kubwa na nzito inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Mheshimiwa Freman Aikael Mbowe na wenzake watatu. Mengi tumeyasikia kutoka kwenye...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Siku hizi dunia ni digital. Kuna kampuni za mitandaoni, maduka ya mitandaoni, shule nk. Kumbe hata kuwa na chama cha siasa cha mtandaoni inawezekana. Sasa tuundeni chama cha siasa cha mtandaoni...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Baada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe alitoa ushahidi wake...
37 Reactions
241 Replies
40K Views
Pongezi sana kwa Mbowe lakini watanzania hatujafanya yanayotupasa Nchi ili ikamikishe maendeleo lazima ipitie kwenye hatua chungu na za wakati mgumu kwa baadhi ya wapigania haki kupata mateso...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Spika wa Bunge, Job Ndugai ameitaka Kamati ya Ulinzi na Usalama kuiita Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), akisema hawafanyi kazi nzuri Akizungumza leo katika Kikao cha Kwanza, Mkutano wa...
6 Reactions
63 Replies
6K Views
Kwa hakika tangu kesi nzito hii kwa jina imeanza, ushahidi wa kuendana nayo umeshindikana kutolewa. Bila shaka kwa upande wa mashtaka, ushahidi wa Luteni Urio ulikuwa ndiyo wa muhimu zaidi...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Taarifa ya kamati ya bunge ya bajeti kuhusu mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa kwa mwaka 2022/23 pamoja na mapendekezo ya mwongozo wa maandalizi ya mpango na bajeti ya serikali kwa mwaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeshuhudia viongozi wanaume huwatambulisha wenzi wao kwa ari na bashasha!! Hupenda kuwasifu na kuwatambulisha mbele za watu. Ila kwa upande wa viongozi wanawake walio wengi huwa hawapendi...
1 Reactions
7 Replies
971 Views
Mdau mmoja kaniuliza na mm nimeona n vyema niulizane na wenzangu ambao ndio Jf (yaan ww unaesoma) Tumeshuhudia namna ambayo watu wametumia kuenzi fikra za Maalim Seif na kwamba itakuwa ni...
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Tunakumbushana tu kwa sababu kuna baadhi ya viongozi wa kisiasa wanajiona wao ni miungu watu. Kumbukeni kuwa dunia hii ni Mapito tu. Hata tukiwakabidhi rasilimali zote ziwe mali yenu hamtaishi...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Angalia vyama vya siasa tofauti ya wenyeviti na Makamu wao, tofauti ya Makatibu Wakuu na Manaibu wao. Mtu akiambiwa pendekeza Makamu analeta mtu weak eti asije kutaka kumpindua. Utapewa mitano ya...
0 Reactions
1 Replies
573 Views
Ukiona binadamu wanavyoshuhudia mahakamani kwa kuandika stori zisizo na muunganiko huitaji kuuliza wasiojuikana ni wakina Nani, nadhani ikiwa mtu anaweza kuja adharani akasimama nakusema ulifanya...
8 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwanza niwapongeze kwa shughuli za ujenzi wa Taifa. Nipende tu kuwakumbusha ya kuwa Nchi yetu sasa inaanza kukomaa na kuwa pevu. Nasema hivyo kwa sababu miaka yote tumekuwa tukishuhudia wastaafu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hizi ndio taarifa zilizopatikana kutoka kwenye Jopo la Wanasheria wanaomtetea Mh Mbowe , Achilia mbali hiyo namba iliyotajwa na yule anayejiita Mwanasheria wa TIGO ambayo hata alipoulizwa kama...
53 Reactions
186 Replies
17K Views
Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa. Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli...
12 Reactions
259 Replies
19K Views
Hii ndio mbinu mpya ya kishamba ya Polisi ya kuhakikisha Wanachama wa Chadema hawapati nafasi ya kumuaga mwenyekiti wao Mbowe As long As Kingai ni RPC wa Kinondoni Kuna kila dalili sasa ya...
14 Reactions
73 Replies
6K Views
Back
Top Bottom