Mawakili wa Serikali kuweni makini sana kwenye kesi ya Mbowe na wenzake

Prof Koboko

JF-Expert Member
Aug 15, 2020
350
2,549
Kama wakili Msomi ninaomba kuwashauri mawakili wa Serikali wakiongozwa na ndugu yangu Robert Kidando ambaye namheshimu sana, msifanye kazi kwa mazoea mtalitia taifa aibu.

Kuweni makini katika kufanya kila jambo mMhakamani kila hatua achaneni na mazoea, Ugaidi si kitu cha mchezo hamjui tu. Msichukulie poa kila kitu hata kama majibu ya hukumu mnayo ninyi.

Hawa Mawakili upande wa utetezi wako very careful na concentration yao ni kubwa mno kwenye hii kesi. Wapo tayari kwa lolote kuonesha dunia kuwa kesi hii ni ya kubumba na haina mashiko yeyote.

Sasa ninyi hamko makini mnazidi kuiweka wazi kesi hii ni ya namna gani. Hamuelewi kabisa kuwa kesi hii ni tofauti ziingine zilizowahi kutokea hapa nchini.

Hii kesi ina interests za watu wengi sana ndani na nje ya nchi msiwe wazembe. Msimpe Jaji kazi ya ziada kuhangaika na nyie.

Ni hayo tu.
 
Basically, kesi hii inamchafua mama sana. Nahisi kuna watu waliitengeneza mapema kabisa ili kumletea doa ambalo ni sustainable. Well, mbowe siyo kwamba ni msafi.

Ni mchafu tu lakini timing ni mbaya sana. Mawakili wa mbowe seem to be very very good players katika hii game.

Mama angehangaika na maisha ya mwananchi maskini na kuachana na haya yanayomwangusha. Hawa wananchi maskini ni wabaya kuliko hata ugaidi wenyewe.

Kwa sasa wameshaanza kumsema vibaya kuhusu bei za vitu kupanda na maisha kuwa magumu. Nchi hii ni very complex.

Wanafiki wengi sana plus deep state na ule mfumo mwingine wa kidunia ambao pia ni hatari zaidi.
 
Kumbe huu mkakati wa kumfunga Mbowe ulikuwa umesukwa tokea Awamu ya tano kwamba Mbowe afungwe na Chadema kifutiwe usajili Daah!!!

Mungu akaamua kutumbua.
Tunaposema Magufuli yupo kuzimu Jehenamu mnadhani huwa tuna vhuki binafsi?

Huyo jamaa alikuwa ni zaidi ya shetani alijukuwa anaipeleka nchi motoni, ila Mungu ni mwema amemuondowa bila umwagaji damu.

Kwakweli tunapaswa kumtolea Mungu sadaka ya shukrani kwa hili.
 
Basically, kesi hii inamchafua mama sana. Nahisi kuna watu waliitengeneza mapema kabisa ili kumletea doa ambalo ni sustainable. Well, mbowe siyo kwamba ni msafi.

Ni mchafu tu lakini timing ni mbaya sana. Mawakili wa mbowe seem to be very very good players katika hii game.

Mama angehangaika na maisha ya mwananchi maskini na kuachana na haya yanayomwangusha. Hawa wananchi maskini ni wabaya kuliko hata ugaidi wenyewe.

Kwa sasa wameshaanza kumsema vibaya kuhusu bei za vitu kupanda na maisha kuwa magumu. Nchi hii ni very complex.

Wanafiki wengi sana plus deep state na ule mfumo mwingine wa kidunia ambao pia ni hatari zaidi.
Eti mbowe mchafu,, Samia, majaliwa,Ndugai,sirro ndo wasafi???
 
Uku chugga daa mama ajirekebishe watu wamechukia Sana vitu kupanda bei especially sabuni,mafuta, na vitu vya ujenzi,,swala la machinga ndo kajimaliza kabsa
 
Kama wakili Msomi ninaomba kuwashauri mawakili wa Serikali wakiongozwa na ndugu yangu Robert Kidando ambaye namheshimu sana, msifanye kazi kwa mazoea mtalitia taifa aibu.

Kuweni makini katika kufanya kila jambo mMhakamani kila hatua achaneni na mazoea, Ugaidi si kitu cha mchezo hamjui tu. Msichukulie poa kila kitu hata
Wenzako wako makini ku justify hukumu ambayo tayari iko magogoni inangojea kusomwa tu,hapo ni kama unampigia mbuzi gitaa. Hao wameahidiwa mamilioni ya fedha na vyeo hivyo interest ya nchi siyo kipaumbele chao.
 
Kama wakili Msomi ninaomba kuwashauri mawakili wa Serikali wakiongozwa na ndugu yangu Robert Kidando ambaye namheshimu sana, msifanye kazi kwa mazoea mtalitia taifa aibu.
Kutetea ukweli ni kitu rahisi sana lakini kuteta uongo hata ukiwa makini vipi watakushika tu. Ni ngumu sana kunyoosha uongo. ni rahisi kusema nilimwona mtu jana saa fulani na mahaala fulani hakiwa na fualani. Ukitunga uongo utashikwa tu maana kwanza ukisema ulimwona saa fulani ataleta shaidi na vidhibitisho kwamba kwa wakati huo hakuwa sehemu hiyo.
 
Tunaposema Magufuli yupo kuzimu Jehenamu mnadhani huwa tuna vhuki binafsi?

Huyo jamaa alikuwa ni zaidi ya shetani alijukuwa anaipeleka nchi motoni, ila Mungu ni mwema amemuondowa bila umwagaji damu.

Kwakweli tunapaswa kumtolea Mungu sadaka ya shukrani kwa hili.
Wewe ndiyo zaidi ya shetani kwa kuwauzia watz madawa ya kulevya ikiwemo vyeti feki. Huwezi kumsahau alichokufanya mpaka utakufa unamkumbuka tu. Mwenzako kazi alishamaliza wewe endelea kuhangaika tu.
 
Back
Top Bottom