Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nauliza tu maana binafsi naona ni rahisi zaidi kuufuta mfumo wenyewe wa vyama vingi vya siasa kuliko kuhangaika na Mwamba. Tangu Mwamba avunjiwe Billicanas nilisema huyu jamaa anaweza kubadilika...
0 Reactions
24 Replies
1K Views
Hata Lowasa alisema wakati wa kampeni 2015 atavunja ujenzi wa bandari ya bagamoyo na mara moja angeanza kujenga na kupanua bandari ya Dar ,Mtwara na Tanga ndicho kitu alichokuja kufanya JPM baada...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa Hakika Huyu Mtu sasa imedhihirika kwamba Umaarufu wake ni Mkubwa kuliko tulivyodhani , na naweza kuthibitisha sasa kwamba Freeman Mbowe , ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema na Mfungwa wa kisiasa...
25 Reactions
73 Replies
6K Views
Salaamu watoto wa Jamhuri ya Muungano! Kiukweli huku MTAANI vitu vinazidi kupanda bei siku Hadi siku.Nyama saizi 8000 Toka 7000. Juzi nimeenda dukani kununua Colgate naambiwa Sasa ni 5000/= ikiwa...
14 Reactions
142 Replies
10K Views
Serikali inafanya siri na kuficha taarifa juu ya hatma ya wafanyabiashara wa soko dogo la Kariakoo. Soko kubwa ni lile lililoungua na moto , soko dogo lipo pembeni, ni jengo la pili mnaloliona...
2 Reactions
2 Replies
952 Views
Ukweli kesi ya Mbowe Kila anaeifuatilia anajua kabisa kuwa kesi hii ni ya kutunga na ukweli pia kesi ya Sabaya kila anaeifuatilia anajua kabisa kuwa kesi yake ni ya ukweli. CCM wote wanajua...
16 Reactions
113 Replies
8K Views
Hapa sina cha kuongeza:
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Ilikuwa kwenye uzinduzi wa Maalim Seif Foundation ambapo majina mazito mazito pia yalikuwapo. Walikuwapo kina Samia, Hussein Mwinyi, Othman Massoud, Jussa nk katika wanao matter kwenye siasa za...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Nawaomba TUCTA kwa makato ya April ya vyama vya wafanyakazi yapelekwe wizara ya Afya ili kuongeza nguvu katika mapambano dhidi ya corona. Mtakuwa mmeonesha uungwana wa hali ya juu. Hii ni kwa...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Hayati John Magufuli alipambana sana Uzalishaji wa mgodi wa Nickel wa Kabanga Nickel uanze uzalishaji akiwa hai. Mipango ya Mungu huwa ina tofauti na ile ya binadamu. Hakuweza kuishi mpaka kuona...
7 Reactions
112 Replies
9K Views
Najaribu kujiuliza Aliyekuwa MKUU wa WILAYA ya HAI Bw.SABAYA alifanya Matukio ya UHALIFU ndani ya HAI Na Nje ya HAI WILAYA ya HAI ina OCD na MKOA una RPC Je ni kwanini VIONGOZI hao Hakuna Sehemu...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Huwa najiuliza sana kwa nini watu wakisikia mmoja ya watu kutoka mkoani kwao, wilayani kwao wanashangilia sana kana kwamba wamepata uokovu. Watu wamekuwa wakabila na wadini sana kiasi kwamba...
3 Reactions
1 Replies
805 Views
NIMEWAONA RAIS MAGUFULI,PROPHET T.B JOSHUA NA PROFESA JOHN ATTA MILLS. Leo 13:15hrs 31/10/2021 Kisha nikatazama juu urefu wa ghorofa tatu nikawaona Rais Magufuli,Prophet T.b Joshua na Profesa...
5 Reactions
60 Replies
6K Views
06/11/2021 During 2020 Zanzibar elections, Dr Mwinyi was my number one favourites Presidential candidate, many friends of mine asked me a lot, why are you endorsing Dr Hussein Mwinyi??? Did he...
0 Reactions
8 Replies
826 Views
Tukubali kuziweka siasa pembeni. Kama ilivyo kwa mwenda kuoga, tukubali kuyavulia maji nguo, tuukabili ukweli usiosemeka: 1. Ridhaa ya kuongoza nchi hupatikana kutoka kwa wananchi. 2. Haiwezekani...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
MAKUBALIANO YA SERIKALI NA BARRICK GOLD CHANGA LA MACHO Jana, Julai 19, 2019 Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Barrick Gold Corporation imetoa Taarifa kwa Umma ya kuinunua Kampuni yake tanzu ya...
116 Reactions
414 Replies
42K Views
Wadau amani iwe kwenu. Tangu kuingia madarakani rais Magufuli amekuwa mbeba maono ya tofauti sana kwa nchi yetu ambayo yamemfanya aweze kuogopwa mno na mabeberu. Rais Magufuli alipoingia tu...
15 Reactions
96 Replies
10K Views
Mbunge wa jimbo la Morogoro kusini mashariki ambaye pia ni meneja wa msanii nguli hapa nchini Diamond Platnumuz, amewananga na kuwaita wanaharakati uchwara walioshindwa siasa za kuiondoa CCM...
19 Reactions
149 Replies
11K Views
Back
Top Bottom