Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wadau amani iwe kwenu. Tangu kuingia madarakani rais Magufuli amekuwa mbeba maono ya tofauti sana kwa nchi yetu ambayo yamemfanya aweze kuogopwa mno na mabeberu. Rais Magufuli alipoingia tu...
15 Reactions
96 Replies
10K Views
Mbunge wa jimbo la Morogoro kusini mashariki ambaye pia ni meneja wa msanii nguli hapa nchini Diamond Platnumuz, amewananga na kuwaita wanaharakati uchwara walioshindwa siasa za kuiondoa CCM...
19 Reactions
149 Replies
11K Views
Habari, Kwa miaka sita iliyopita mawakala wa mabeberu walikuwa wameufyata baada ya kujaribu kila mbinu na kushindwa vibaya mbele ya JPM. Kukamatwa ndege walishindwa Corona walishindwa...
7 Reactions
71 Replies
6K Views
Taarifa ya rais wa Marekani Biden kutangaza kuwa ili watu wakubali kuchanjwa chanjo ya Corona ni mpaka walipwe kwanza dola 100 imenishitua sana kama ni kweli hii Corona ilikuwa inauwa watu elfu 3...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari . Inasikitisha sana ukifuatilia page na post mbalimbali za CHADEMA wanavyotukanwa kwenye comments na wachangiaji. Kuna group linaitwa CHADEMA in blood kule facebook yani kila wanachopost...
2 Reactions
4 Replies
964 Views
Baada ya Rais Samia leo kuweka bayana kuwa atajitosa kuwania urais mwaka 2025 ni dhahiri sasa mpambano wa kuwania kiti hicho utakuwa kati yake na makamu mwenyekiti wa Chadema aliyekimbilia...
5 Reactions
80 Replies
9K Views
Rais Samia Suluhu amewajibu wapinzani kuwa waache kukariri kwani demokrasia siyo Cocacola kwamba inafanana kila mahali duniani. Samia amesema demokrasia inatofautiana kutoka nchi moja kwenda...
15 Reactions
101 Replies
10K Views
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema huenda makosa yamepungua Polisi Watanzania hawaendi Vituoni kuripoti kwasababu wamekata tamaa kutokana na kutopata Haki zao. Ameeleza hayo leo Jijini...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Anaandika SAMSON MWIGAMBA June 19, 2019 Zitto ajiandae kupambana na Maalim Seif, hana hadhi ya kupambana na JPM QURAN Tukufu inasema alama za mnafiki ni tatu. Kwanza, akisema hasemi ukweli...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
Kama taifa tusherehekee kwa kuwapa Uhuru wa kweli Watanzania.Wapo wenzetu wengi wanataabika mahabusu na magereza. Tiba Bora kwa Mtanzania bado Ni anasa na hisani. Tuwape tabasamu Watanzania kwa...
1 Reactions
1 Replies
598 Views
Huyu ni kijana wa Chadema aliyewahi kuwa diwani wa Tunduma , Alikamatwa kabla ya uchaguzi wa 2020 ili kumkomoa asigombee tena udiwani kutokana na uoga wa kile chama chakavu , akanyimwa dhamana na...
20 Reactions
36 Replies
3K Views
Kampuni yoyote, hasa kampuni kubwa kama tiGO inakuwa na organization structure yake ambayo iko well organized. Mwanasheria sio part ya management bali ni muajiriwa wa kawaida tu ambaye kwa kawaida...
9 Reactions
77 Replies
7K Views
Umesikika ushahidi wa Cpl. Hafidh Abdallah (shahidi #3) kutokea Police Forensic Bureau, Dar es Salaam. Shahidi anadai alipokea bastola moja, risasi tatu na barua yenye maelekezo kutokea office ya...
16 Reactions
64 Replies
7K Views
Nauliza tu kwa sababu Zitto Kabwe amekuwa akihudhuria hii kesi pale mahakama ya mafisadi na kila wakati amekuwa akidai Mbowe aachiliwe kwa sababu hii kesi ni ya kubumba. Maalim Seif ni mhanga wa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu nipo mzima kabisa wa afya. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na hili suala very controversial. Soma hapo chini. Serikali...
1 Reactions
54 Replies
9K Views
BALOZI wa Tanzania Nchini Korea ya Kusini, Togolani Mavura amesema safari za kidiplomasia za viongozi wa nchi haziongezi gharama kwa taifa bali ni uwekezaji unaolipa. Akizungumza katika mjadala...
0 Reactions
1 Replies
661 Views
Nauliza tu kwa wale wajuzi wa mambo ya kiuchunguzi na kiupelelezi kama inakubalika kisheria mtuhumiwa wa kike kusachiwa na askari mwanamme. Nimezoea pale Uwanja wa maonesho ya Sabasaba huwa...
5 Reactions
41 Replies
4K Views
Yasemekana mshitakiwa #2 alikamatwa na bastola ambalo anakanusha. Kwamba alikamatwa na bastola au hakukamatwa na bastola, hayo ni mambo mengine. Kukamatwa na bunduki kinyume cha sheria mbona...
8 Reactions
109 Replies
10K Views
Zitto awatolea uvivu wanaomwita kibaraka wa CCM Tanga. Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kama angekuwa ni msaliti na kibaraka wa Chama cha Mapinduzi (CCM), asingeweza...
16 Reactions
348 Replies
39K Views
Back
Top Bottom