Ukweli ni kwamba Kesi ya Freeman Mbowe imefunika kila kitu nchini Tanzania

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,666
218,169
FB_IMG_1570488518462.jpg

Kwa Hakika Huyu Mtu sasa imedhihirika kwamba Umaarufu wake ni Mkubwa kuliko tulivyodhani , na naweza kuthibitisha sasa kwamba Freeman Mbowe , ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema na Mfungwa wa kisiasa ndiye MTU MAARUFU KUPITA WOTE WALIO HAI NCHINI TANZANIA KWA SASA .

Hii ni kwa sababu hakuna taarifa yoyote sasa , iwe kutoka kwa waziri , Waziri Mkuu au Rais inayotiliwa maanani na wananchi kuzidi kesi ya uongo ya Ugaidi , maana ya jambo hili ni kwamba hakuna kiongozi yeyote katika niliowataja anayeaminiwa na wananchi kuzidi Freeman Mbowe , ukitaka kujua zaidi hebu angalia mambo mazuri kama Wachezaji wa Twiga Stars kupewa viwanja , habari hii nzuri imepuuzwa kabisa na watanzania kwa vile wote wanaangalia Mahakamani kwenye kesi ya Ustaadh Aboubakar Mbowe , nimeshangaa sana !

Hili kwetu ni funzo kubwa sana .
 
Hii kesi ni kama series moja kali sana ambayo kila mtu anatamani isiishe.

Kesi ya Mwamba ni kama Game of Thrones wakati upande wa pili ni kama Original Comedy

Kesi ya Mwamba ni kama Squid Game wakati upande wa pili ni kama Nsyuka
Sisi wengine tuliona mbali sana, hata kabla kesi haijaanza tukafanya haya maombi ya kurushwa LIVE COVERAGE. Watu wakapuuza.

uliona mbali sana
 
View attachment 1990212

Kwa Hakika Huyu Mtu sasa imedhihirika kwamba Umaarufu wake ni Mkubwa kuliko tulivyodhani , na naweza kuthibitisha sasa kwamba Freeman Mbowe , ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema na Mfungwa wa kisiasa ndiye MTU MAARUFU KUPITA WOTE WALIO HAI NCHINI TANZANIA KWA SASA .

Hii ni kwa sababu hakuna taarifa yoyote sasa , iwe kutoka kwa waziri , Waziri Mkuu au Rais inayotiliwa maanani na wananchi kuzidi kesi ya uongo ya Ugaidi , maana ya jambo hili ni kwamba hakuna kiongozi yeyote katika niliowataja anayeaminiwa na wananchi kuzidi Freeman Mbowe , ukitaka kujua zaidi hebu angalia mambo mazuri kama Wachezaji wa Twiga Stars kupewa viwanja , habari hii nzuri imepuuzwa kabisa na watanzania kwa vile wote wanaangalia Mahakamani kwenye kesi ya Ustaadh Aboubakar Mbowe , nimeshangaa sana !

Hili kwetu ni funzo kubwa sana .
Hiyo sio kesi ya Mtu Duni ni kesi ya Mwamba.
 
Na tuliwapa angalizo watawala kuwa kesi hii ni ya kihistoria na itazaa Tanzania mpya inayoongozwa na viongozi waliochaguliwa kwa ridhaa ya wananchi huku kauli mbiu yake bila kujali vyama ni visheni ya nchi yenye kusimamia Haki, Uhuru na Maendeleo ya Watu.
Tuliwaonya sana wakashupaza shingo.
 
View attachment 1990212

Kwa Hakika Huyu Mtu sasa imedhihirika kwamba Umaarufu wake ni Mkubwa kuliko tulivyodhani , na naweza kuthibitisha sasa kwamba Freeman Mbowe , ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema na Mfungwa wa kisiasa ndiye MTU MAARUFU KUPITA WOTE WALIO HAI NCHINI TANZANIA KWA SASA .

Hii ni kwa sababu hakuna taarifa yoyote sasa , iwe kutoka kwa waziri , Waziri Mkuu au Rais inayotiliwa maanani na wananchi kuzidi kesi ya uongo ya Ugaidi , maana ya jambo hili ni kwamba hakuna kiongozi yeyote katika niliowataja anayeaminiwa na wananchi kuzidi Freeman Mbowe , ukitaka kujua zaidi hebu angalia mambo mazuri kama Wachezaji wa Twiga Stars kupewa viwanja , habari hii nzuri imepuuzwa kabisa na watanzania kwa vile wote wanaangalia Mahakamani kwenye kesi ya Ustaadh Aboubakar Mbowe , nimeshangaa sana !

Hili kwetu ni funzo kubwa sana .
hata hamza alikuwa maarufu sana
 
Nenda huko mtaani utaona watu wapo busy kutafuta dona la kula na familia zao hiki unachokiongelea hapa kinabaki hapahapa jukwaani mtaani wa hawana habari!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom