Je, Freeman Mbowe ana nguvu kuliko mfumo wa vyama vingi vya siasa?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,919
141,885
Nauliza tu maana binafsi naona ni rahisi zaidi kuufuta mfumo wenyewe wa vyama vingi vya siasa kuliko kuhangaika na Mwamba.

Tangu Mwamba avunjiwe Billicanas nilisema huyu jamaa anaweza kubadilika na kuwa mpinzani wa kweli halafu atasumbua sana kama Madiba wa bondeni.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
 
Una vi % vya unafiki hivi.....FAM alianza biashara wakati Ndugai anachunga ng'ombe na bi mkubwa aanaenda madrasa
 
Nauliza tu maana binafsi naona ni rahisi zaidi kuufuta mfumo wenyewe wa vyama vingi vya siasa kuliko kuhangaika na Mwamba.

Tangu Mwamba avunjiwe Billicanas nilisema huyu jamaa anaweza kubadilika na kuwa mpinzani wa kweli halafu atasumbua sana kama Madiba wa bondeni.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
John, unajua unachosha na kukera watu katika mabo ya msingi, unakuwa sasa kinyaa! Hapa kuna maisha ya mtu yanaagamia kwa kubambikiwa kesi, wew unaleta mchezo. Hapo hapo mnakwenda kwenye mzoga kuabudu...
 
Kwahiyo bwashee kabla hajavunjiwa Billcanas hakuwa mpinzani wa ukweli?
 
John, unajua unachosha na kukera watu katika mabo ya msingi, unakuwa sasa kinyaa! Hapa kuna maisha ya mtu yanaagamia kwa kubambikiwa kesi, wew unaleta mchezo. Hapo hapo mnakwenda kwenye mzoga kuabudu...
Umeshafura bwashee!!!....... Hahahaaaa!
 
Tulishasema tangu awali kwamba huyu mtu si wa Kawaida , Jiwe alikusanya Waganga nchi nzima akisaidiwa na Bashite na Waziri Mkuu mmoja mstaafu ili kumroga Mbowe lakini ikashindikana

Hata dira ya nchi inatokana na Mbowe
 
Nauliza tu maana binafsi naona ni rahisi zaidi kuufuta mfumo wenyewe wa vyama vingi vya siasa kuliko kuhangaika na Mwamba.

Tangu Mwamba avunjiwe Billicanas nilisema huyu jamaa anaweza kubadilika na kuwa mpinzani wa kweli halafu atasumbua sana kama Madiba wa bondeni.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Ushavimbiwa magimbi na ulanzi sasa umeamua kutabiri mvua kunyesha kipindi cha masika.
 
Nauliza tu maana binafsi naona ni rahisi zaidi kuufuta mfumo wenyewe wa vyama vingi vya siasa kuliko kuhangaika na Mwamba.

Tangu Mwamba avunjiwe Billicanas nilisema huyu jamaa anaweza kubadilika na kuwa mpinzani wa kweli halafu atasumbua sana kama Madiba wa bondeni.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Moyo wake umejaa upinzani tangu ajiunge chadema, lakini kichwa chake hakina uwezo wa kupanga mkakati wa kutimiza kitu moyo wake unataka.
 
CCM inamiliki kila kitu. Bunge Lao. Halmashauri, municipal na majiji wanaongoza wao, vyombo vya ulinzi na usalama vinatii maelekezo ya CCM. Taasisi zote za umma ziongozwa Na watu walio watifuu Kwa CCM.

Lakini CCM bado haijiamini. Bado inalalamika kwamba inakwamishwa na wapinzani. Hawa wapinzani wako wapi?? Je waongoza taasisi za umma au ni watu gani hasa
 
Tulishasema tangu awali kwamba huyu mtu si wa Kawaida , Jiwe alikusanya Waganga nchi nzima akisaidiwa na Bashite na Waziri Mkuu mmoja mstaafu ili kumroga Mbowe lakini ikashindikana

Hata dira ya nchi inatokana na Mbowe
Hahahaaaa........ Jiwe na waganga wapi na wapi bwashee?!!!
 
Moyo wake umejaa upinzani tangu ajiunge chadema, lakini kichwa chake hakina uwezo wa kupanga mkakati wa kutimiza kitu moyo wake unataka.
Mkuu pole sana kwa yaliyomkuta Sabaya , nadhani sasa umegundua kwamba cheo ni dhamana ya muda mfupi sana .
 
Back
Top Bottom