Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,069
- 3,705
Hapo vip!!
Panapostahili kupokwezwa tupokeze ila nitaendelea kukosoa panapobidi tena bila kuchoka.
Baada ya kuandika kuhusiana na suala la mkoa wa Arusha kugeuka kuwa kichaka kutokana na wamachinga kuzagaa kila mahala.
Baada ya siku nne sasa Arusha yang'ara na Arusha yapendeza sasa ile hadhi ya jiji la Arusha imeoneka.
Sasa hata mzungu anaweza kutembea tembea pasipo kuwa na wasiwasi.
Mama sisi wengine tunakuelewa endelea kukaza hivyo hivyo..mama sio kila maamuzi utakayofanya lazima wawafurahishe wananchi.
Maamuzi mengine huwa yanakuwa machungu kama klorokwin ila yanamtibu huyo anaelalamika.