Aman Kabourou azikwa leo kwa heshima na wanajeshi

Toosweet

JF-Expert Member
May 27, 2012
2,141
1,982
Kwenu,

Nimeangalia mazishi ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kisha kada na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma. Sanduku la mwili wa Mh. Kabourou lilikuwa limebebwa na asksri wa JWTZ. Alikuwa askari? Alikuwa afisa wa jeshi hill?

Mnaojua mtujuze.
 
Back
Top Bottom